Showing 81–100 of 2167 results

Uchu: Harakati za Willy Gamba Book 7...

KShs890.00
“Umesikia George Foreman amerudi ulingoni na kutwaa ubingwa?” Chifu aliuliza. “Sikusikia tu, nimeona kwenye Televisheni,” Willy Gamba alijibu. “Basi nataka na wewe urudi ulingoni” Chifu alisema kwa kutabasamu huku akipaka mkate siagi. Baada ya kufunga ndoa na mpenzi wa maisha yake, Willy Gamba anakuwa mtu mpya asiyetaka kujihusisha tena na purukushani zinazoweza kuhatarisha maisha yake na familia yake. Maamuzi yake hayo yanakosa nguvu pale anapolazimika kuwatolea uvivu viongozi wetu wa Kiafrika ambao wametawaliwa na tamaa ya kubaki kwenye madaraka ili wajilimbikizie utajiri, huku Waafrika wakizidi kudidimia katika dimbwi la umaskini na migogoro ya kisiasa. Safari hii Willy Gamba anajikuta Rwanda, akitafuta ukweli wa vipi mamilioni ya wananchi waliuawa na wananchi wenzao huku Afrika na dunia wakiangalia bila kutoka msaada wowote. Uzito wa suala hili unampelekea Willy Gamba kupambana na usaliti na ujahili wa kimataifa ambao uko tayari kuendeleza utawala wa mabavu ili tu maslahi ya watu wachache wenye ubinafsi yaweze kulindwa.

Kikosi cha Kisasi: Harakati Za Willy ...

KShs890.00
Ni nani hasa anayewaua viongozi wa wapigania uhuru? Kwa nini wengi wa viongozi hawa wameuawa jijini Kinshasa kuliko mahali pengine popote Afrika? Ili kukomesha vitendo hivi vya kijahili, Umoja wa Nchi Huru za Kiafrika (OAU) inakata shauri kuwasaka wauwaji hawa na kuwafagilia mbali. Willy Gamba, mpelelezi maarufu wa Afrika, anachaguliwa kuongoza kikosi cha wapelelezi wa Kiafrika kuwasaka. Kinshasa, jiji linalosifika kwa starehe zake linageuka uwanja wa mapambano kati ya vijana wapiganaji shupavu wakiongozwa na Willy Gamba, na wapinga mapinduzi wakiongozwa na Kaburu Pierre Simonard. Willy pamoja na kikosi chake wanalivamia jiji la Kinshasa kuhakikisha wanakomesha mauaji hayo. Ndipo patashika ambalo halijawahi kutokea barani Afrika linapoanza na kuliwasha moto jiji hili…

Kikomo: Harakati za Willy Gamba Book ...

KShs790.00
Haikuwa kazi yake kujishughulisha na makosa ya jinai. Hivyo alishangaa kidogo Chifu alipomwamuru afuatilie tatizo la upungufu wa almasi. Isingekuwa kwa sura aliyoonyesha, angeweza hata kumjibu kuwa apeleke malalamiko yake kwa Kamishna wa Polisi au ampe uhamisho kwenda huko kama alikuwa hamhitaji katika idara yake. Siku hiyo, Chifu alivaa sura ya kutisha na Willy Gamba hakuwa na la kufanya ila kukubali. Kulikuwa na ushahidi kwamba almasi zilizouzwa katika masoko ya nje zilikuwa chache sana kulinganisha na kiasi kilichokuwa kinachimbwa. Kwa nini iko hivyo!? hilo ndilo suala lililomsumbua sana Chifu. Idara ya upelelezi wa makosa ya jinai imejitahidi bila mafanikio. Askari Polisi, Joel, amegusa chanzo cha uhalifu, akafa na uhalifu ukaendelea. Chifu anamtuma mpelelezi Jack Mbwile, naye maiti yake inaokotwa ikielea katika Ziwa Victoria. Sasa jambo limekuwa zito na hakuna jinsi, lazima Willy Gamba ahusike…

Kufa na Kupona: Harakati za Willy Gam...

KShs1,000.00 KShs790.00
Nyaraka za siri zimeibiwa kutoka ofisi moja ya wapigania uhuru jijini Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania inaingiwa na hofu kuwa nyaraka hizo zitaishia mikononi mwa adui na kuhatarisha maisha ya watu wengi wasio na hatia. Kutokana na ishara maalumu inasadikiwa kuwa majasusi hao wamekimbilia jijini Nairobi. Mpelelezi nguli, Willy Gamba, anapewa kazi ya kuwatafuta popote walipo, kwa gharama yoyote na kuwapokonya nyaraka hizo. Kazi hiyo lazima ifanyike haraka kabla hawajaziuza kwa adui. Muda unazidi kwenda na mapambano ya kuwasaka majasusi hao yanazidi kuwa makali na hakuna huruma. Pande zote zinapoteza watu muhimu. Wapelelezi, majasusi na raia wengine wasio na hatia wanauwawa. Wakati wote huo Willy Gamba anaendelea na upelelezi wake mgumu na ndipo anapokutana na mrembo Lina. Lakini mrembo huyu yuko upande gani? Na Lulu je? Je Chifu yupo sahihi anapomwonya Willy Gamba asimwamini mwanamke yeyote mrembo? Willy Gamba na wenzake wanabanwa vilivyo lakini hawana ruhusa ya kushindwa. Maisha ya wengi yanawategemea. Ni mapambano ya kufa na kupona, lakini wanawashindaje maadui wakali kama hawa?

Njama:Harakati za Willy Gamba Book 4 ...

KShs890.00
Mpelelezi mashuhuri wa Afrika, Mtanzania, Willy Gamba, akiwa likizoni huko Afrika Magharibi, jijini Freetown, Sierra Leone, anatumiwa ujumbe wa haraka arudi upesi nchini kwani kumetokea hujuma kubwa. Kutokana na uzalendo wake hapotezi muda, hima anarejea nchini. Chifu wake anamweleza kuwa shehena kubwa ya silaha za kivita ambazo ni mali ya wapigania uhuru wa kusini mwa Afrika, imeibiwa bandarini, katika mazingira ya kutatanisha. Habari hizi zinaleta utata mwingi, baadhi ya nchi zikisema ni njama za Makaburu, na nyingine zikisema ni njama za Tanzania. Katika kiza kinene kinachozunguka suala hili, serikali ya Tanzania inamtuma Willy kuwasaka. Hapo ndipo patashika zinaanza na jiji la Dar es Salaam linakumbwa katika wimbi la msukosuko wa uhaini, usaliti, na mauaji ya kikatili…

Hofu: Harakati za Willy Gamba Book 4 ...

KShs1,000.00 KShs790.00
Mauaji ya kikatili yanafanyika karibu na mji wa Uitenhage nchini Afrika Kusini, siku ya kuwakumbuka wazalendo waliouawa mjini Sharpeville mwaka 1960. Makaburu wanajawa na hofu na wanatilia shaka kuwa ni njama za kikundi cha watu weusi kutaka kupindua serikali yao ya kibaguzi. Uongozi wa makaburu wa Afrika Kusini wakiongozwa na mkurugenzi wa shirika la ujasusi, kamanda wa jeshi la Kulfut na mkuu wa magaidi wasaliti wa UNITA wanakutana ili kukabili juhudi za ukombozi wa Afrika Kusini kwa kupanga wimbi la mauaji. Mkutano wa wapigania uhuru wa Afrika Kusini unafanyika Arusha, nchini Tanzania. Jambo hili linawatia hofu makaburu, hivyo basi, mikakati kabambe inafanywa na serikali yao ili kuusambaratisha mkutano huo. Umoja wa Wapigania Uhuru nao unaandaa kikundi makini kabisa ili kupambana nao na kuulinda mkutano huu muhimu. Mpelelezi nguli wa Afrika, Willy Gamba, hakosi panapokuwa na mapambano kati ya upande wenye haki, na ule wa dhuluma. Kwa kushirikiana na wapelelezi mahiri kutoka nchi za kusini mwa Afrika, wanakabiliana na makaburu hao na vikundi vya kigaidi vinavyoshirikiana nao. Hekaheka zinatokea Arusha, hofu inatanda kote! mwindaji awa mwindwaji…

Joy Beneath the Sun

KShs1,499.00 KShs1,000.00
Born into the harsh realities of rural Umuahia, Joy is the youngest of ten in a family struggling against poverty, superstition, and relentless societal pressures. While her siblings and relatives succumb to bitterness or misfortune, Joy’s unwavering faith, intelligence, and moral compass guide her through trials that would have crushed a lesser spirit. Refusing to compromise her integrity for love or wealth, she excels in school, earning a national scholarship to a prestigious university where she studies Computer Science. Yet, even as her academic brilliance opens doors, temptation and corruption loom—embodied in the predatory Mr. Kayode, whose promises of success come at the cost of morality. Through the unwavering support of Emeka, an honest and God-fearing agricultural engineer, Joy navigates the treacherous waters of ambition, romance, and spiritual trials. Her journey is punctuated by visions, biblical allusions, and dreams of a future that demands patience and courage. Alongside moments of suspense, betrayal, and heartbreak, Joy remains steadfast, learning the value of forgiveness, love, and resilience. From childhood hunger under mango trees to blistered hands working night shifts, from poisoned feasts to moral confrontations in the bustling streets of Lagos, Joy’s story is one of faith, love, and triumph. Ultimately, she rises to a First-Class honor in her degree, reconciles fractured relationships, and experiences a love redeemed, proving that those who sow in tears shall indeed reap in joy. “Joy Beneath the Sun” is a story of courage, morality, and the unyielding power of faith, illustrating how adversity, when met with resilience, leads to both personal and spiritual victory.

A Girl Cannot Go On Laughing All The ...

KShs700.00 KShs490.00
It's the city style as seen and lived by Nairobi's rising and trendy young men and women. There is vice and crime, violence and opulence, prostitution and hypocrisy. And in her face and love for life, sensational Edna is haunted by death, clings onto her carefree cassanova boyfriend Dave... It is Dave's turn, however, to learn that a girl cannot go on laughing all the time. The novel is as contemporary as it is courageous, as hiralious as it is harsh.
A Girl Cannot Go On Laughing All the Time is full of pathos, yet it is the one novel you may laugh to read.

The Gold Rush by Samuel Wachira

KShs1,000.00 KShs890.00
For Christopher Makumi, winning a scholarship to study in the United States was like getting the key to the doors of success, a chance of a lifetime, and a ticket to the world of riches. The truth is unveiled when the temptation of earning a quick fortune in the land of plenty leads him straight into the jaws of crime. Soon, he finds himself trapped between a ruthless crime lord, a bunch of dangerous killers and the law. The golden dream in the world of riches turns into a horrendous nightmare as the hunter becomes the hunted in a thrilling contest between the underworld and the law.
This is a dramatic story of an innocent young man who blindly falls into the trap of the lure of big money in a cliff-hanger which starts with false friendship. The friendship develops into double-cross, turns into a man-hunt and finally explodes into a blood chilling orgy of violence that leaves behind a series of assassinations.

JUSTICE IN THEIR HANDS

KShs1,399.00 KShs1,000.00
In a land suffocated by corruption, injustice, and failed leadership, the people’s cries for change are drowned out by the brutality of a system designed to oppress them. The government thrives on deception, its officials indulging in wealth stolen from citizens who can barely afford a meal. The police, once meant to serve and protect, have become executioners, their bullets silencing voices demanding accountability. Hospitals, meant to heal, become death traps where mysterious murders go unexplained. Schools and universities, the last hope for a better future, collapse under the weight of endless strikes and mismanagement. Amidst the chaos, a silent storm is brewing. Students, doctors, and ordinary citizens refuse to cower in fear. They take to the streets, their chants of justice growing louder with every fallen comrade. But the government responds with force, staining the roads with the blood of the innocent. When a patient is found murdered inside the most guarded hospital, and the security cameras conveniently fail to capture the culprit, it becomes clear—the system will protect its own at all costs. Yet, even in darkness, hope flickers. As fear gives way to rage, a resistance rises. Leaders emerge from unexpected places, uniting the oppressed in a final, desperate fight for justice. But with spies among them, betrayals looming, and a government willing to kill to maintain power, victory is uncertain. Will the people reclaim their nation, or will the corrupt system tighten its grip, silencing them forever? In Justice in Their Hands, the battle for freedom is not just about survival—it’s about rewriting history.

The Bloom That Refused To Wither by M...

KShs1,500.00
The Bloom That Refused to Wither is a moving story of pain, resilience, faith and hope. Through life's fiercest storms, Imani discovers that even the most battered soul can bloom again. Raw, heartfelt and deeply inspiring, this book will remind you that your scars do not define you—they can become the very place where healing begins.

Colour Her Great: African Heroines by...

KShs1,000.00 KShs800.00
Colour Her Great: African Heroines by Felgonah Oyuga

Life Sentence: Poetry, Musings and Pr...

KShs1,500.00 KShs1,300.00
Life Sentence: Poetry, Musings and Prose by Felgonah Oyuga

Ari ya Pasha by Gichimu Njeri

KShs500.00
Nyanya na mama wa mhusika mkuu, Pasha, wanashikilia kwamba msichana hana budi kupashwa tohara ndipo awe mke wa thamani siku za usoni. Wanapanga njama ya kumpasha tohara Pasha. Pasha anang’amua nia yao na kutoroka usiku. Anarudi mjini, anakoishi na wazazi wake. Soma hadithi upate maelezo zaidi.

Mkaidi by Gichimu Njeri

KShs500.00
Vumilia amepata fursa ya kujiunga na chuo kikuu baada ya kufua dafu katika mtihani. Baba yake, Bwana Hamaki, anataka asomee kozi ya udaktari. Baba anaamini kuwa madaktari wana mishahara minono na hadhi kubwa katika jamii. Vumilia naye ana mtazamo tofauti kuhusu kozi anayotaka kusoma. Anataka kozi inayohusiana na sanaa. Baada ya vuta n'kuvute kwa muda, Vumilia anajikuta katika njiapanda kuhusu iwapo atafuata matakwa ya baba ama ndoto zake mwenyewe. Je, Vumilia akimkaidi baba yake na kufuata ndoto zake, atakuwa na uhusiano gani kati yake na familia yake? Ni nani atakayemlipia Vumilia karo?

Breaking The Silence by Muthoni wa Gi...

KShs790.00 KShs600.00
Breaking the Silence is an emotional recollection of Wanjiku's despicable plight. She is a victim of a most atrocious act of brutality. Amidst the persistent threats, money, political power, and the manipulative schemes employed to silence her, her pursuit for justice is as agonising as is her trauma.

Nuun: Qalin iyo Qoraalkii (Somali Edi...

KShs2,700.00 KShs2,500.00
Hadalkana sar weedhiisa Una saaf qofkii waaya Ha ka tegin sarbeebtiisa Hana gelin sursuur oodan Hana lumin sargoyntiisa Hana liqin sangaabtiisa Ha ku saxan badheedhkiisa Runta sogordoh haw yeelin Ha suldaarin dooddiisa Sisibaa wadaaggiisa Sababee abbaartaada Hana badin su'aashiisa Sarrifkiyo tilmaantiisa Saddex erey halkii dooni Soddon yaanay kaa qaadan Siddi-qabaxi yay raacin Sare haw dhig-dhigin luuqda Gacantana ha saydh-saydhin Hana odhan wax sawliila.

The Fish I Couldn’t Swallow: St...

KShs650.00
  1. 9 unforgettable love stories from Port Harcourt to New York - about love that didn't fight back.

Where the Mud Still Knows My Name

KShs1,300.00 KShs1,000.00
Where the Mud Still Knows My Name is a moving coming-of-age novel that traces the life of Juma, a boy born and raised in the unforgiving slums of Mtoni Mwisho. The story unfolds through a non-linear structure, weaving together present-day success, haunting memories, vivid flashbacks, and symbolic dreams to reveal how poverty, resilience, and hope shape a human life. The novel opens in the present, where Juma lives in a quiet, well-planned estate after completing his master’s degree. Surrounded by comfort and stability, he is unexpectedly unsettled by small luxuries such as running water and a full fridge. News of unrest in his former neighborhood pulls him back emotionally, triggering memories of a childhood marked by hunger, muddy paths, overcrowded iron-sheet houses, poor sanitation, and daily survival. Through flashbacks, the reader is immersed in slum life: children removing sandals during rain to walk through mud, families sharing a single room without privacy, long queues for water and medical care, and meals limited to ugali, sukuma, and occasional matumbo. Despite these hardships, the slum pulses with life—talent, laughter, friendship, and unspoken dreams. Football prodigies, gifted mathematicians, dancers, and singers emerge, many of them silenced by poverty before their potential can fully bloom. School becomes Juma’s refuge. Though hampered by hunger, torn uniforms, overcrowded classrooms, and broken desks, education offers him a fragile but powerful escape. Encouraged by devoted teachers and driven by his mother’s sacrifices, Juma resists the pull of crime, drugs, and illegal shortcuts that claim many of his peers. Political rallies, violent demonstrations, and broken public systems reveal how neglected communities are exploited and abandoned, deepening the cycle of despair. As Juma advances to university, he faces a new struggle—fitting into a world that exposes his background through accent, clothing, and quiet hunger. With discipline, solitude, and the guidance of a mentor, he perseveres. His eventual academic success, however, is bittersweet. Graduation brings pride and tears, but also sharp reminders of friends lost to poverty, illness, and broken systems. The novel comes full circle as Juma returns quietly to the slum, not as a savior, but as a servant. He supports children’s homes, helps families anonymously, and walks the same muddy paths that shaped him. Through his mother’s weathered hands and the unchanged struggles around him, Juma learns that true success lies not in escape, but in responsibility. The story ends with a powerful reflection: while Juma rises from the mud, he carries it with him forever. The mud becomes both a memory and a teacher—reminding readers that dignity can grow in the harshest conditions, and that hope, when nurtured, can outlive even the deepest poverty. Where the Mud Still Knows My Name is an emotional, educative, and inspiring novel for high school readers worldwide, exploring resilience, moral choice, social inequality, and the enduring power of education.

CHILDFREE TAPESTRY BY MERCIANA

KShs1,000.00 KShs850.00

CHILDFREE TAPESTRY is a raw collection of short stories that explores the hidden dimensions of childfree life, pulling back the curtain on deep-seated societal views, and unspoken realities of childfree life.

From parentified childhoods and the secret grace of silent medical battles to the fierce solidarity of marriages standing strong against intrusive mothers-in-law, these stories reveal characters who boldly claim their truth. They confront the well-meaning myths of the village, harsh judgment of friends, and pressure of family, refusing to let society dictate their path. This book doesn't villainize parenthood, nor does it sugarcoat the childfree choice.