Showing 1–20 of 36 results

Safari ya Mauti

KShs1,300.00 KShs1,000.00
Insi awapo katika himaya yake ya kuendeleza ghorofa ya maisha, katu huwa katika baraste iliyojaa mengi asiyoyajua. Je, umewahi kujikuta kwenye njia usioijua? Kulingana na wasomi ni wazi kuwa kupotea njia ndiko kujua njia. Riwaya hii itakupa jibu mwafaka! Safari ya Mauti imemsawiri binadamu katika ubinadamu wake wa sura, maumbile na hisia. Maudhui mengi ya kisasa yamechorwa ili kumpa msomi namna ya kuzikabili hali katika harakati zake za kila leo. Mathalani; Elimu, Ufisadi, Siasa, Dini, Tandavu, Teknolojia na Mapenzi ni miongoni mwa maudhui ainati yaliyokiumba kitabu hiki chenye mnato. Umilisi wenye mwonjo wa fani kochokocho za lugha umeipamba na kuiremba riwaya hii. Mwandishi Bw. Gitonga amekuandalia fasihi yenye utamu na wingi wa tafiti. Usikose kukiwahi katika maduka ya vitabu. Ama kweli aendaye kisimani mbele hunywa maji maenge.

Diwani ya Wasaragambo by Masaka Madeda

KShs1,000.00 KShs800.00
Wasaragambo ni watu wa kawaida, wanaoishi maisha ya kawaida na kufanya shughuli za kawaida. Ila shughuli kubwa zaidi wanayofanya ni

Hatima Yangu by Matata Hassan

KShs850.00 KShs699.00
Hatima Yangu inamulika masuala muhimu yanayoikumba jamii ya sasa. Uhalisia wa riwaya hii unaifanya kua ya kipekee katika kuhamasisha jamii.