Showing all 15 results

Oxford Kiswahili Fasaha Learner’...

KShs990.00
Oxford Kiswahili Fasaha is a series specially written to provide practical experiences that support the acquisition of skills for Competency-Based Education. Books in the series have a wide range of activities that learners will find exciting and motivating. The activities are aimed at the acquisition and appreciation of the core competencies, values, and Pertinent and Contemporary Issues (PCIs).
Oxford Kiswahili Fasaha, Learner’s Book Grade 11:
  • Is written in simple language that makes it easy for the learners to understand the concepts.
  • Contains well-designed activities and thought–provoking questions that prompt learners to think about real-life issues and find solutions to problems.
  • Has full-colour pictures that work closely together, offering excellent language and conceptual support.
  • Develops knowledge and practical skills that are essential at school and in the community.Includes assessments at the end of each sub-strand that give the learners an opportunity to test their understanding of the concepts covered in each topic.
A Teacher’s Guide is available for this Learner’s Book. Oxford, your companion for success!

Siri ya Sarufi

KShs1,589.00 KShs1,463.00
Siri ya Sarufi ni Kitabu cha gredi ya 10, 11 na 12. Kimeangazia mada zote katika viwango hivi pamoja na tathmini zenye majibu baada ya kila mada teule. Siri ya Sarufi itakata kiu yako ya ufanisi.

Oxford Kiswahili Fasaha Mwongozo wa M...

KShs1,100.00
Kiswahili Fasaha ni msururu ulioandikwa kwa njia ya kipekee na unaokidhi mahitaji yote ya Mtaala wa Kiumilisi. Vitabu katika msururu huu vina shughuli anuwai ambazo zinalenga kumsaidia mwanafunzi kupata umilisi, maadili na masuala mtambuko yanayokusudiwa katika mtaala. Mwongozo huu wa mwalimu una:
  • Utangulizi kuhusu Mtaala wa Kiumilisi
  • Muhtasari wa umilisi, maadili na masuala mtambuko yaliyoratibiwa kukuzwa
  • Mifano ya vifaa vya kutathmini na jinsi ya kuviandaa vifaa hivyo
  • Mapendekezo kuhusu mbinu bora za ufunzaji na ujifunzaji
  • Jinsi ya kuwahudumia wanafunzi wenye mahitaji maalumu
  • Nyaraka za kitaaluma
  • Maelekezo kuhusu jinsi ya kuwahusisha wanafunzi katika shughuli za kijamii.
Mwongozo huu pamoja na Kiswahili Fasaha Kitabu cha Mwanfunzi Gredi ya 10 ni nyenzo muhimu zitakazokuwezesha wewe na wanafunzi wako kufaulu katika Mtaala wa Kiumilisi. Oxford, mshirika wako katika ufanisi!

Upeo wa Sintaksia ya Kiswahili

KShs1,200.00
Hiki ni kitabu cha sintaksia ya Kiswahili. Kinaangazia historia, misingi na utumikizi wa nadharia mbalimbali za sintaksia.

Doa la Ndoa na Hadithi Nyingine

KShs1,000.00 KShs800.00
  1. Doa la Ndoa na Hadithi Nyingine ni mkusanyiko wa hadithi fupi za kuvutia zilizoandikwa na waandishi ambao wamedhihirisha ukwasi mkubwa wa lugha ya Kiswahili pamoja na ustadi wa kuumudu utanzu wenyewe. Hadithi hizi zinawasilisha mitazamo tofauti kuhusu masuala mazito katika jamii kama vile ajira, mapenzi, ndoa, unafiki, usaliti na tamaa ya mali. Zinaangazia mashaka tipitipi yanayowakumba vijana wa kiafrika na familia za kisasa, zikibainisha uhalisia wa maisha ya binadamu.
Kitabu hiki kimejumuisha simulizi zilizosheheni taharuki ya kusisimua, uwezo wa kubana matukio, mwondoko wa haraka, na ucheshi wa aina yake. Ni kazi inayowalenga wapenzi wa fasihi ya Kiswahili wanaotamani kuzamia masuala muhimu katika maisha ya kila siku kwa mtazamo wa kiafrika.

UDURUSU WA FASIHI SIMULIZI

KShs400.00 KShs350.00
Ni mwongozo mwafaka wa kuelekeza uchambuzi wa Tanzu na vipera mbalimbali vya Fasihi SIMULIZI.

IMARISHA USHAIRI by Rutere Shenver

KShs500.00
Utafiti umedhihirisha kuwa matokeo ya ushairi wa kiswahili miongoni mwa wanafunzi umekuwa ukidorora siku baada ya siku kutokana na madai kuwa ushairi ni utanzu mgumu ulio na istilahi nyingi tatanishi. IMARISHA USHAIRI ni kitabu kinachochanganua ushairi wa kiswahili kwa njia rahisi na ya kuvutia. Kimefafanua ushairi kwa kina na kutoa vielelezo vya kutosha. Isitoshe, kimekusanya msururu wa mitihani ya kitaifa; maswali pamoja na majibu

USHANGA by Rutere Shenver

KShs550.00
  • Ushanga ni riwaya inayosimulia kuhusu safari ya kusaka ushanga wa adhama kubwa wa kifalme ambao unazua mtafaruku mkubwa na kuchonganisha falme nyingi. Kupotea kwa ushanga huu kunasababisha matatizo si haba.

Masimulizi Kamilifu ya Alfu Lela Ulel...

KShs1,050.00 KShs890.00
Volume 4 of Hassan Adam’s landmark unabridged Swahili Arabian Nights.