Showing all 20 results

WOSIA WA ALI NA HADITHI NYINGINE

KShs900.00 KShs800.00
  1. Hii ni diwani ya HADITHI kumi na tatu za kusisimua. Kila HADITHI imejadili maswala. mbalimbali lakini kwa lugha rahisi inayoeleweka haraka na kutumbuiza. Kila HADITHI ichambuliwe kivyake

Fahari Ya Kuwa Mwafrika by Chiro Martin

KShs1,250.00 KShs1,150.00
Katika kitabu hiki kwanza tutamuona Kuvuna ambaye ni mtoto wa kike na ameishi kumpenda na kuiga mfano wa mwanamazingira Wangari Maathai. Kuvuna anawaongoza wanafunzi wenzake katika juhudi za kupanda miti shuleni na kupigana na mabadiliko ya anga. Sehemu ya pili tutapatana na marafiki wawili ambao ni Omollo na Wanjiru. Marafiki hao licha ya kua jinsia tofauti, pia wanatoka katika tamaduni tofauti za Kiafrika. Cha kupendeza zaidi ni kua wawili hawa hawatatengana bali watafunzana tamaduni hizo na mwishowe kushawishi shule yao kuandaa tamasha la kitamaduni. Baadaye tutapatana na Amani amabaye anasaidia kikundi hiki kuvumbua historia ya kitajiri ya mwafrika, iliyofichwa na miaka mingi ya ukoloni. Amani kwa usaidizi wa mwalimu wake wa historia anaanzisha kilabu cha historia shuleni. Mwishowe tutapatana na Kiprop ambae ni mpenzi wa teknolojia na uvumbuzi. Anashawishiwa na historia ya uvumbuzi Afrika naye pia anaanzisha uvumbuzi wake ambao tutaona kuwa na msaada mkubwa kwa shule yao na jamii pana.

Chura na Kipepeo By Mercy Kihugi

KShs500.00 KShs400.00
Chura na Kipepeo is just the beginning of books that bring stories to life in TWO languages, Kiswahili and English! Get ready therefore for a story that's doppelt (German for "double") the fun and a safari of words as we explore languages together.

Masimulizi Kamilifu ya Alfu Lela Ulel...

KShs1,050.00 KShs890.00
Volume 4 of Hassan Adam’s landmark unabridged Swahili Arabian Nights.

Masimuliza Kamilifu ya Alfu Lela Ulel...

KShs890.00
Juzuu ya 5 katika mfululizo kamili wa juzuu tisa wa Alfu Lela U Lela. Tafsiri kamili ya kwanza ya hadithi maarufu za Uarabuni, Uajemi na Uhindi katika Kiswahili, iliyofanywa na mwanazuoni Mtanzania Hassan Adam. Inarejesha sehemu zilizokatwa katika tafsiri ya 1928.

Masimulizi Kamilifu ya Alfu Lela Ulel...

KShs890.00
Juzuu ya 3 katika mfululizo kamili wa juzuu tisa wa Alfu Lela U Lela. Tafsiri kamili ya kwanza ya hadithi maarufu za Uarabuni, Uajemi na Uhindi katika Kiswahili, iliyofanywa na mwanazuoni Mtanzania Hassan Adam. Inarejesha sehemu zilizokatwa katika tafsiri ya 1928.