Showing the single result

Vitendawili Vya Kikwetu by H.D Salla

KShs790.00
Zaidi ya kuwajengea wasomaji utambuzi wa vitu mbalimbali, matumizi ya picha katika kutoa majibu ya vitendawili yatamwongezea msomaji ufahamu wa maneno mengi muhimu ya Kiswahili. Kwa kupitia kitabu hiki msomaji atajifunza maneno zaidi ya 700 ambayo yatamwongezea uwezo wake wa kutumia Kiswahili kujieleza kwa ufasaha. Baadhi ya maneno muhimu kabisa ambayo hayajazoeleka yanayopatikana katika kitabu hiki ni kama: njuga, dema, kokochi, zumari, mbinja, uboho, kope, kingo, ulimbo, istiwai na mwega. Maneno haya na mengine mengi yatamsaidia msomaji kuifahamu na kuweza kuitumia Lugha hii vema zaidi.