Showing all 2 results

Upeo wa Ufahamu na Ufupisho

KShs550.00
'Upeo wa Ufahamu na Ufupisho' kwa Shule za Upili ni kitabu cha mazoezi na marejeleo kwa wanafunzi wa shule za upili. Kitabu hiki kipya katika uwanja huu kitamwongoza mwanafunzi kujiandaa kwa mazoezi ya ufahamu na ufupisho. Kina sehemu mbili kuu: Ufahamu na Ufupisho. n nKatika kitabu hiki utapata: n
    n
  • mada zote za ufahamu na ufupisho zilizoratibishwa kwenye silabasi.
  • n
  • sura kumi na moja zinazoshughulikia mada mbalimbali za ufahamu na ufupisho.
  • n
  • mazoezi ya kila kipengele kilichofundishwa.
  • n
  • mazoezi kumi ya ziada.
  • n
  • majibu ya maswali yote.
  • n
nKitabu hiki cha kipekee katika nyanja za ufahamu na ufupisho ni hazina kwa walimu pamoja na wanafunzi wanaojiandaa kwa mtihani wa KCSE.

Upeo wa Insha kwa Shule za Upili

KShs825.00
'Upeo wa Insha' kwa Shule za Upili ni kitabu kilichoandikwa na walimu wenye tajiriba pana ili kumwongoza mwanafunzi hatua kwa hatua katika utungaji na uandishi wa insha. Katika kitabu hiki, utapata: n
    n
  • insha zote zilizopendekezwa katika silabasi ya Kiswahili kwa shule za upili.
  • n
  • maana ya kila aina ya insha.
  • n
  • miundo ya aina zote za insha.
  • n
  • sifa bainifu kwa kila aina ya insha.
  • n
  • umuhimu na tahadhari zinazoandamana na kila utungo.
  • n
  • mifano kemkemi ya insha, pamoja na maswali ya mazoezi.
  • n
  • maelezo kuhusu uandishi na utahini wa insha.
  • n
nKitabu hiki ni hazina tosha kwa mwanafunzi, mwalimu na yeyote ambaye angependa kuimarisha ujuzi wake wa mbinu za utungaji.