Showing all 7 results

Sikukuu Nzuri

KShs205.00
Sikukuu Nzuri ni hadithi inayoangazia msamiati wa vyakula. Lola na wenzake wanajadili kuhusu chakula ambacho wangependa kula siku ya sikukuu. Je, watachagua vyakula gani? n nSoma Nasi ni msururu wa hadithi zilizoandikwa kwa kuzingatia mada mbalimbali. Hadithi hizi zitawawezesha wanafunzi wenye uwezo tofautitofauti kuimarisha stadi za lugha walizojifunza darasani. Wanafunzi watafurahia kuzisoma hadithi hizi kwa lengo la kujiburudisha na pia kufanya mazoezi ya stadi za lugha.

Soma Nasi Kusoma na Kuandika Mwongozo...

KShs340.00
'Soma nasi, Kusoma na kuandika Kiswahili' ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa Umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka. n n'Soma nasi, Kusoma na kuandika Kiswahili', Kitabu cha Mwalimu, Gredi ya 3 kina mifano halisi na ya kutosha kumwezesha mwalimu kuwasaidia wanafunzi kukuza umilisi unaokusudiwa. Katika mwongozo huu utapata: n
    n
  • Utangulizi wa kina kuhusu mtalaa huu mpya wa umilisi.
  • n
  • Muhtasari wa umilisi, maadili, masuala ibuka na shughuli nyinginezo zilizoratibiwa ufundishaji katika kila sura.
  • n
  • Matokeo maalumu, maandalizi ya somo na shughuli za ufunzaji wa kila somo.
  • n
  • Mapendekezo ya majibu ya maswali yote katika Kitabu cha Mwanafunzi.
  • n
  • Mapendekeza ya shughuli za wanafunzi nje ya darasa.
  • n
  • Maelekezo ya kina kuhusu jinsi ya kutathmini wanafunzi.
  • n
n'Soma nasi, Kusoma na kuandika Kiswahili', Kitabu cha Mwanafunzi pamoja na Mwongozo wa Mwalimu vina shughuli, mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwanafunzi na mwalimu watahitaji ili kufaulu katika mtaala huu mpya wa Umilisi.

Soma Nasi Kusoma na Kuandika Kitabu c...

KShs420.00

Soma nasi, Kusoma na kuandika Kiswahili ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee iii kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wo Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza. kuzungumza, kusoma na kuandika. Aidha. vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi utiopendekezwa. maaditi na kufahamisha kuhusu masuala ibuka. Katika Soma nasi, Kusoma na kuondika Kiswahili, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi 3. utapata:

n
    n
  • Mada zilizopangwa kwa kuzingatia mtalaa mpya
  • n
  • Mifano halisi ya miktadha ambapo lugha hutumika
  • n
  • Mazoezi nje ya darasa ili kuendeleza ujifunzaji na kuwashirikisha wanafunzi katika shughuli za kijamii zinazokuza ujifunzaji
  • n
  • Mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja
  • n
  • Jinsi ya kuwashirikisha wazazi na walezi ill kuimarisha uwajibikaji
  • n
  • Sehemu ya 'Tujifurahishe inayolenga kuwasisimua wanafunzi wanapotumia lugha.
  • n
n

Soma nasi, Kusoma na kuandika Kiswahili. Kitabu cha Mwanafunzi kina Mwongozo wa Mwalimu ambao pia una mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwaltmu atahitaji ili kumwongoza mwanafunzi aweze kufaulu katika mtalaa huu mpya wa Umilisi.

n

Oxford, chaguo lako"

Soma Nasi Kusoma na Kuandika Mwongozo...

KShs340.00

Soma nasi, Kusoma na kuandika Kiswahili ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa Umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka.

n

Soma nasi, Kusoma na Kuandika Kiswahili, Kitabu cha Mwalimu, Gredi ya 2 kina mifano halisi na ya kutosha kumwezesha mwalimu kuwasaidia wanafunzi kukuza umilisi unaokusudiwa. Katika mwongozo huu utapata:

n
    n
  • Utangulizi wa kina kuhusu mtalaa huu mpya wa umilisi
  • n
  • Muhtasari wa umilisi, maadili, masuala ibuka na shughuli nyinginezo zilizoratibiwa ufundishaji katika kila sura
  • n
  • Matokeo maalumu, maandalizi ya somo na shughuli za ufunzaji wa kila somo
  • n
  • Mapendekezo ya majibu ya maswali yote katika Kitabu cha Mwanafunzi
  • n
  • Mapendekeza ya shughuli za wanafunzi nje ya darasa
  • n
  • Maelekezo ya kina kuhusu jinsi ya kutathmini wanafunzi.
  • n
n

Soma nasi, Kusoma na Kuandika Kiswahili, Kitabu cha Mwanafunzi pamoja na Mwongozo wa Mwalimu vina shughuli, mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwanafunzi na mwalimu watahitaji ili kufaulu katika mtaala huu mpya wa Umilisi.

Soma Nasi Kusoma na Kuandika Kitabu c...

KShs395.00
'Soma nasi, Kusoma na kuandika Kiswahili' ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa Umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka. n nKatika 'Soma nasi, Kusoma na kuandika Kiswahili', Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi 2, utapata: n
    n
  • Mada zilizopangwa kwa kuzingatia mtalaa mpya.
  • n
  • Mifano halisi ya miktadha ambapo lugha hutumika.
  • n
  • Mazoezi nje ya darasa ili kuendeleza ujifunzaji na kuwashirikisha wanafunzi katika shughuli za kijamii zinazokuza ujifunzaji.
  • n
  • Mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja.
  • n
  • Jinsi ya kuwashirikisha wazazi na walezi ili kuimarisha uwajibikaji.
  • n
  • Sehemu ya ‘Tujifurahishe’ inayolenga kuwasisimua wanafunzi wanapotumia lugha.
  • n
n'Soma nasi, Kusoma na kuandika Kiswahili', Kitabu cha Mwanafunzi kina Mwongozo wa Mwalimu ambao pia una mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwalimu atahitaji ili kumwongoza mwanafunzi aweze kufaulu katika mtalaa huu mpya wa Umilisi.

Soma Nasi Kusoma na Kuandika Kitabu c...

KShs405.00
'Soma nasi, Kusoma na kuandika Kiswahili' ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa Umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka. n nKatika 'Soma nasi, Kusoma na kuandika Kiswahili', Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi 1, utapata: n
    n
  • Mada zilizopangwa kwa kuzingatia mtalaa.
  • n
  • Mifano halisi ya miktadha ambapo lugha hutumika.
  • n
  • Mazoezi nje ya darasa ili kuendeleza ujifunzaji.
  • n
  • Mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja.
  • n
  • Jinsi ya kuwashirikisha wazazi na walezi ili kuimarisha uwajibikaji.
  • n
  • Sehemu ya 'Tujifurahishe' inayolenga kuwasisimua wanafunzi wanapotumia lugha.
  • n
n'Soma nasi, Kusoma na kuandika Kiswahili', Kitabu cha Mwanafunzi kina Mwongozo wa Mwalimu ambao pia una mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwalimu atahitaji ili kumwongoza mwanafunzi aweze kufaulu katika mtalaa huu mpya wa Umilisi.