Showing 81–95 of 95 results

Siri ya kupata A katika mtihani wa Ki...

KShs980.00 KShs960.00
Reason why you should buy your this book:- 1)Knec report inasema miaka miwili na mitatu iliyopita wanafunzi wengi wanafeli Sana kwenye mtihani wa Kiswahili KCSE 2)KNEC report inasema fasihi simulizi na ushairi ndiyo wanafunzi wanafeli sana katika KCSE.Pia Wanafunzi wengi hawajui namna ya kujibu maswali yenyewe.Hiki kitabu kimeshughulikia Mambo hayo vizuri sana. 3)KNEC report inaeleza kuwa Wanafunzi wengi hawajui kujibu maswali ya ushairi na fasihi simulizi,kitabu kimeonyesha jinsi ya kuyajibu maswali. 4)Maswali yaliyopo kwenye kitabu hiki yamefanyiwa utafiti wa hali ya juu.Ukifaulu kuyajibu vizuri,umejiweka katika nafasi nzuri ya kupita kcse. 5)Siri ya Kupata A katika mtihani wa Kiswahili KCSE ni kitabu kilichoandikwa Kwa njia ya kipekee. #mwaka wa 2019 kilitoa alama 35 kwenye KCSE #mwaka wa 2020 kilitoa alama 37 kwenye KCSE #mwaka wa 2021 kilitoa alama 45 na #mwaka 2022 kilitoa alama 55 kwenye KCSE. Jee Kuna kitabu kushinda hiki..bila Shaka Hamna. 5)kitabu hiki kimeonyesha jinsi maswali ya kcse yamekuwa yakiulizwa katika miaka ya nyuma. 6)Kinatumika katika shule nyingi humu nchini.kimewasaidia wengi kuenda university. 7)Dunia inatuza matokeo na siyo juhudi.(The world rewards results and not efforts.) 8)Ni bei nafuu. This book is ideal for form 1-4 students and teachers.If you want your child to get good examplary results,do this buy this book for him/her,bless her/him then wait for results. Author Mzee Warsame is consultant,novelist,playwright, best selling author,world class speaker and a businessman.He is the author of best selling books.He has written 14 books.He is a media personality who has worked for the top media houses in Kenya.He is also a columnist who writes on topical issues in Kenya's leading newspapers and magazines.He does charity through his organization, Warsame Orphans Fund,where he pays school fees for 97 orphans in primary, secondary and colleges/university students.Warsame has visited more than 700 secondary schools,more than 200 primary schools and more than 100 polytechnics, colleges and universities in the country.He has mentored more than one million young learners in the country.He is one of the most sought after consultants globally. Facebook: Mzee Warsame YouTube: Mzee Warsame Instagram: Mzee Warsame TikTok: Mzee Warsame His Number :- +254723753976 Reminder:- 80% of sales from this book goes to charity of helping and paying school fees for orphans children in the country.Your support is highly appreciated.

KINA CHA USHAIRI Mwongozo Wa Uchambuz...

KShs800.00 KShs750.00

This is a guide to 'USHAIRI ' based on Kenya secondary school Kiswahili syllabus.Its a complete guide covering all aspects of 'ushairi.'

Mnunurisho wa Ushairi

KShs650.00 KShs510.00
Mnunurisho wa Ushairi ni Kitabu chenye uchambuzi chanya na mpevu kuhusu Ushairi kama tanzu ya fasihi. Kitabu hiki kina maelezo ya kina kwa mwanafunzi wa shule ya Upili na Junior Secondary.

STUDYING, REVISION AND TACKLING EXAMS...

KShs750.00 KShs700.00
The Idea of writing this book came to my mind when I met so many learners in my day to day training on Study and Revision skills in various schools, who are eager to perform well and are also capable of doing well, but they don't have the knowhow or the expertise on how to study and manage their time effectively. Just Like farming, or any other activity, studying is also an activity with set guidelines and principles of which if a learner is well trained on them, there are increased chances of better performance. This book explores the role of the learner, What hinders academic excellence, the best study techniques, tackling exam skills and tips on how to manage time effectively.

MATHEMATICS QUICK STUDY GUIDE –...

KShs850.00 KShs800.00
This book has been written to assist High School students to perform according to their potential and get the grade they deserve in mathematics. It has been written in a simpler manner to help even an average student understand and enjoy the topics of mathematics. This volume has all the topics in Form 3 and 4 with well elaborated explanations, definitions, Formulas and Examples to help the student understand the concepts easily.

Study and Examination Guide

KShs600.00 KShs500.00
Studying relates to dedicating time and focus to gaining knowledge and skills, and the application thereof, in a given subject or subject area. Effective study involves the efficient use of time and attention to maximize the mastery of the knowledge and skills. Learning how to study effectively is an important skill on its own merit. Further, effective study requires discipline and consistency in reading, questioning, and identifying important information in the subject of study with the objective of increasing knowledge and skill in the subject area. As well, effectively studying for tests and examinations is as important as successfully writing the tests and examinations. They involve more than a mastery of the knowledge and skills tested. They require being mentally prepared and being in a good physical condition and alertness. They require a good understanding of how to optimize the short period of time allotted for writing tests and examinations. This guide is intended to help students three ways; to enable students effectively: (a) study, (b) prepare for tests and examinations, and (c) write tests and examinations. It offers techniques in the three areas which, if consistently applied, would enhance the chances for students performing well in the three aspects. It is a valuable resource for effective learning that goes beyond studying just for passing examinations. The guide emphasizes the value of knowledge and skills, and hence the need for understanding and skills as well as the application. It dissuades the reader for studying purely for purposes of passing examinations. Aside from students, the guide can be used by teachers, study tutors and coaches. It is also useful for education managers in the matter of emphasis of the value of knowledge in real life.

Computerized Data Processing Concepts...

KShs1,200.00 KShs1,000.00
This is secondary computer studies book combining both F1-4 work

MAKOMBORA YA MBINU ZA KIMTINDO

KShs580.00 KShs530.00
Mkusanyiko wa mbinu 54 za lugha. Zote zimetolewa maelezo na mifano ya kudumu hata kwa mpito wa vitabu teule vya fasihi andishi. Muhimu kwa kuchambua na KUELEWA Tamthilia, Hadithi Fupi, Riwaya, Fasihi Simulizi na Ushairi

KIMOTA CHA FASIHI SIMULIZI

KShs700.00 KShs615.00
Kitabu elekezi cha Fasihi Simulizi. Kimejumuisha maelezo, maswali na majibu. Aidha kina maswali mengi ya KCSE za awali na mtindo wa kuwasilisha majibu

Utando Wa Ushairi by Derrick Masika

Utando wa Ushairi ni kitabu cha marejeleo ch Ushairi karatasi ya tatu katika shule za upili. Kina matini yanayohitajika kuhusu Ushairi, mashairi na maswali ya KCSE kuanzia 2008 - 2020

Nyota Ya Kudurusu Sarufi Na Matumizi ...

KShs1,000.00 KShs800.00
Title: Nyota ya Kudurusu Sarufi na Matumizi Ya Lugha Series: Msururu wa Scanner Author: Toroitich Patrick Yegon Target Readers: Wanafunzi wa shule ya Upili. Kitabu hiki kimeandikwa kwa lengo la kuwafunulia walimu, wanafunzi na wapenzi wote wa Kiswahili siri ya kujua sarufi ya Kiswahili, kwani asiyejua sarufi hajui Kiswahili. Maswala haya yameshughulikiwa: Umuhimu wa kusoma sarufi ya Kiswahili, namna ya kutathmini na kujifundisha maswala ya sarufi, changamoto zinazowakumba wanafunzi katika uelewa wa sarufi, stadi za kudurusu sarufi, maswali ya kudurusu viungo vya sarufi, mitihani miigo na ya kitaifa pamoja na majibu kwa maswali yote.

New Beginning IRE 8 by Islam Khiyar I...

KShs800.00 KShs690.00
Brief Summary New Beginning IRE, Pupil's Book 8, is part of an exciting series that comprehensively covers the new Islamic Religious Education (IRE) Syllabus for primary schools. The series emphasizes a practical approach to Islam according to the teachings of the Qur-an and the Sunnah of the Prophet (S.A.W.). The series will enable the learners to understand Islam and will inspire them to have a positive attitude towards life.