Showing 241–260 of 1164 results

Pato and His Father’s Tie

KShs699.00
Stories in the Sunrise Reading Scheme 2a. Atieno Skips to the City - Kabaru Ndegwa 2b. Why Snake Has no Legs - Stephen Alumenda 2c. Rundo the Elephant - Jennie Marima 2d. Tanko Falls Down - Frank Odoi 2e. Amariga the Greedy Boy - Kwamboka Oyaro By EAEP

Nimeshindwa Tena

KShs744.00
Kila mtu hutaka kuwa mshindi katika jambo alitendalo. Inapotokea kuwa ni mshinde husononeka si haba. Lakini swali ni kuwa tunafaa kushinda katika kilo jumbo au kukubali tunaposhindwa katika mambo mengine? Hadithi hii inahusu mhusika, Mshindi... By Ken Walibora

Zuhura na Redio ya Ajabu

KShs817.00
Vitabu vya Nyota vimetungwo kwo tengo la kuwawezeshe wanafunzi katika Afrika Mashariki kujifunza lugha ya Kiswohili. Lugha itiyotumiwa ni yo kuvutia na hadithi ni za kuburudisha. Zuhura ni msichana mwenye ubunifu mwingi. Angependa sana kuwa fundi... By EAEP

Uongo Uliozaa Jitu

KShs683.00
Wazazi wake Chereko wana nia moja to kwake: kumfanya mtu wa kusema ukweli daima. Ni yapi yatampata akikosa kuzingatia hili? By Phoenix

Katala na Genge la Wezi

KShs810.00
Vitabu vya Nyota vimetungwa kwa lengo la kuwawezesha wanafunzi katika Afrika Mashariki kujifunza lugha ya Kiswahili. Lugha iliyotumiwa ni ile yenye kuvutia na hadithi zenyewe ni za kuburudisha. Katala na Genge la Wezi ni kisa cha kusisimua sana.... By EAEP

Msuya Augua Tumbo

KShs699.00
Vitabu Vingine vya Visa na Vituko 1a. Nyumbani Kwetu – Rebecca Nandwa 1b. Shambani kwa Babu - Hassan Makombo 1c. Ajali Baharini – Hassan Makombo 1d. Kuku Mrembo - Masera Lewela 1e. Karamu ya Lina – Rebecca Nandwa 1f. Sungura na Mbweha –... By EAEP

Miujiza ya Majini

KShs783.00
Baba! Angalia ziwani. Kuna viboko!” Adamu aliinuka, akasimama haraka huku macho yake yakilenga kule walikoibuka wale viboko. Jelani naye akakurupuka kando ya kaka yake mkubwa. Jelani, angalia wale viboko kule. Tabia yao si ya kawaida.... By Moran

Spotlight CRE Activities Grade 3

KShs1,045.00
Spotlight CRE Activities Learners Book Grade 3 has been uniquely designed to greatly benefit Grade Three learners in handling New Curriculum CRE Activities. It comprehensively covers Primary 3 CRE Activities Curriculum Designs as per the... By Spotlight

Spotlight Environmental Activities GD...

KShs974.00
Spotlight Environmental Activities Learners Book Grade 3 has been uniquely designed to greatly benefit learners in Grade Three. It comprehensively covers the New Curriculum Environmental Activities Grade Three as per the Competency-Based... By spotlight

Theluji Nyeupe na mbilikimo Saba

KShs810.00
Hadithi hizi za kipekee zimepambwa michoro maridadi ambayo inaleta ubora na uhondo wa masimulizi ya Ladybird kwa wasomaji wa kizazi kipya. Watoto kutoka kizazi hadi kizazi wamependa sana hadithi hizi, na watapata burudani zaidi kwa kuzisoma pamoja. By ladybird

A Bump on the Head: 2n

KShs759.00
Mesa is a bully. He does not treat other boys very well. Find out what happens to him in the end ... By John Muitung'u

Kiswahili Dadisi Mazoezi ya Lugha Kit...

KShs846.00
Kiswahili Dadisi. Mazoezi ya Lugha ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa Umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza kuzungumza, kusoma... By Oxford

One Planet Hygiene and Nutrition Lear...

KShs916.00
Learning for the young ones is bound to be an exciting and delightful experience with the series. coursebooks are made in line with the competency eased curriculum framework and present a range of activities that build on the competence of a child... By Lilian Lillovi

MTP Pre-Primary Language Activities 1...

KShs887.00
MTP Pre Primary Language Activities 1 is specially designed to reflect the aspirations of the New Competency Based Curriculum as released by Kenya Institute of Curriculum Development (K.I.C.D). By the end of Pre Primary 1, the learner will learn... By MTP