Showing 161–180 of 778 results

KLB Visionary Kiswahili Language Acti...

KShs348.00
KLB Mazoezi ya Kiswahill Gredi ya 2 (Kitabu cha Mwanalunzi) ni kitabu mojawapo kati ya vitabu vinavyochapishwa na Kenya Literature Bureau vya msururu wa KLB Visionary. Msururu huu wa vitabu umezingatia Mtalaa wa kiumilisi wa mwaka wa 2017 wa masomo ya shule za Msingi. Kitabu hiki kimekusudiwa kumwezesha mwanafunzi kukuza uwezo wa kutumia stadi zote nne za lugha ya Kiswahili: Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika. Kupitia stadi hizi, mwanafunzi anakuza uwezo wake wa lugha. Toleo hili limejumuisha mambo muhimu ambayo yanachangia ujifunzaji wa sasa ambayo ni masuala mtambuko, maswali dadisi, masuala ya linsia. utendaji wa mwanafunzi, picha murua za kuchangamsha na kuibua hamu ya kudadisi kwa mwanafunzi na mbinu tofauti za kumwezesha mwanafunzi kukuza uwezo wake wa kujifunza. Mazingira halisi ya mwanafunzi yamezingatiwa katika kukuza kazi hii. Hili linamwezesha mwanafunzi kujifunza katika hali halisi. Lugha sahili imetumika ili kurahisisha kuelewa kwa mada zote katika kitabu

KLB Visionary English Activities Grad...

KShs302.00
KLB Visionary English Activities for Grade 1 is a learning area that aims at instilling in the learners the ability to become active listeners and speakers at their level. The learner through engagement becomes confident in expressing their feelings, ideas and opinions. The workbook hos been developed in line with the requirements of the new Competency-Based Curriculum and subject design The text is presented in a simple concise language appropriate to the level of the learner The style is also simple, making it highly readable and learners will find it easy to understand. The book contains full-colour illustrations designed to hold the attention of the learners. The workbook hos employed o learner-centered approach where all experiences ore centered on the learner's interests, knowledge and application to real life situations. Every lesson has something to draw from day-to-day occurrences. The Learner's Workbook has numerous practical activities for all topics and at the end of every lesson to enable the learner practise learning on their own.

KLB Visionary Kiswahili Language Acti...

KShs314.00
KiswahIll Dadisi. Mazoezi ya Lugha ni msururu wa vitabu vipyo vilivyoandikwa kwa njia ya kipekee iii kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa umilisi. Vitabu katika msururu huu vitamwezesha mwanafunzi kupata uhalisi wa lugha katika stadi za kusikiliza. kuzungumza. kusoma na kuandika kama ilivyopendekezwa katika mtalaa mpya. Vitabu katika msururu vina mazoezi murua ambayo yatamchangamsha mwanafunzi na kumpa hamu ya kutaka kujifunza Lugha. Mazoezi haya yanakuza umilisi uliopendekezwa. maadili no kufahamisha kuhusu mosualaibuka. Kiaswahili Dadisi. Mazoezi ya Lugha. Mwongozo wa Mwalimu. Gredi ya I kina mifano halisi no yo kutosho kumwezesha mwalimu kuwasaidia wonafunzi kukuza umilisi unaokusudiwa. Katika mwongozo huu utapata: • utangulizi wa kina kuhusu mtotaa huu mpya wa umilisi • muhtosari wa umilisi, maadai. masualaibuka no shughuli nyinginezo zilizoratibiwa kufundishwa katika kilo surd • matokeo maalumu, maandalizi ya somo no shughuli zo ufunzaji wo kilo somo • mapendekezo ya majibu ya maswali yote katika Kitobu cha Mwanafunzi • mopendekezo yo shughuti za wonafunzi nje yo darasa • maelekezo ya kina kuhusu jinsi ya kutathmini wonafunzi. Kiswahili Dadisi. Mazoezi ya Lugha. Kitabu cha Mwanafunzi pomojo no Mwongozo wa Mwalimu vino shughuti. mazoezi no maelekezo tosha ambayo mwanofunzi no mwalimu watohitaji ili kufautu katika mtataa huu mpya wo

KLB Visionary Kiswahili Language Acti...

KShs255.00
KLB Mazoezi ya Kiswahill Gredi ya 1 (Kitabu cha Mwanalunzi) ni kitabu mojawapo kati ya vitabu vinavyochapishwa na Kenya Literature Bureau vya msururu wa KLB Visionary. Msururu huu wa vitabu umezingatia Mtalaa wa kiumilisi wa mwaka wa 2017 wa masomo ya shule za Msingi. Kitabu hiki kimekusudiwa kumwezesha mwanafunzi kukuza uwezo wa kutumia stadi zote nne za lugha ya Kiswahili: Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika. Kupitia stadi hizi, mwanafunzi anakuza uwezo wake wa lugha. Toleo hili limejumuisha mambo muhimu ambayo yanachangia ujifunzaji wa sasa ambayo ni masuala mtambuko, maswali dadisi, masuala ya linsia. utendaji wa mwanafunzi, picha murua za kuchangamsha na kuibua hamu ya kudadisi kwa mwanafunzi na mbinu tofauti za kumwezesha mwanafunzi kukuza uwezo wake wa kujifunza. Mazingira halisi ya mwanafunzi yamezingatiwa katika kukuza kazi hii. Hili linamwezesha mwanafunzi kujifunza katika hali halisi. Lugha sahili imetumika ili kurahisisha kuelewa kwa mada zote katika kitabu

KLB Skillgrow Kiswahili Activities T/...

KShs405.00
KLB Mazoezi ya Kiswahiil Hatua ya Pili (Mwongozo wa Mwalimu) ni kitabu mojawapo kati ya vitabu vinavyochapishwa na Kenya Literature Bureau vya msururu wa KLB Visionary. Msururu huu wa vitabu umezingatia Mtalaa wa kiumilisi wa mwaka wa 2017 wa masomo ya shule za msingi. Kitabu hiki kimekusudiwa kumwezesha mwanafunzi kukuza uwezo wa kutumia stadi zote nne za lugha ya Kiswahili; Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika. Kupitia stadi hizi, mwanafunzi anakuza uwezo wake wa lugha. Toleo hili limejumuisha mambo muhimu ambayo yanachangia ujifunzaji wa sasa ambayo ni masuala mtambuko, maswali dadisi, masuala ya jinsia, utendaji wa mwanafunzi, picha murua za kuchangamsha na kuibua hamu ya kudadisi kwa mwanafunzi na mbinu tofauti za kumwezesha mwanafunzi kukuza uwezo wake wa kujifunza. Mazingira halisi ya mwanafunzi yamezingatiwa katika kukuza kazi hii. Hili linamwezesha mwanafunzi kujifunza katika hali halisi. Lugha sahili imetumika ili kurahisisha kuelewa kwa mada zote katika kitabu. Msururu huu wa KLB Visionary umeshughulikiwa na jopo la walimu stadi wenye tajriba_ maalum katika kiwango cha shule ya msingi cha ujifunzaji. Kitabu hiki kimetolewa pamoja na Kitabu cha Mwanafunzi ambacho kitamwezesha mwalimu au msaidizi wa mwanafunzi kushughulikia kikamilifu mada zote zilizoko kwenye mtalaa

KLB Skillgrow Language Activities(Eng...

KShs267.00
KLB Skillgrow Language Activities for Pre-Primary 2 is a learning area aimed of developing knowledge, skills and attitudes in language of the learners level The title employs a hands-on learner-centred approach, which enables learners to develop the required skills and competencies through self-discovery. Resources used in presenting concepts are derived from the learner's immediate environment. This is to help the learner relate the learning points to real-life situations. The title has a variety of illustrations mode in full colour. Several activities are also included making the learner fully involved in the learning process. The text and instructions to the learner are presented in a simple language appropriate to the target audience

RAMANI YA KISWAHILI GREDI 10,11,12

KShs1,800.00 KShs1,500.00
Huu ni mwongozo madhubuti unaowaongoza wanafunzi wa Gredi ya 10,11,12 katika safari ya umahiri wa lugha chini ya mfumo wa CBE. Kitabu hiki kimeandikwa kwa umakini ili kusaidia wanafunzi kujenga stadi za mawasiliano ,kifikiri kwa kina na kujiamini katika matumizi ya lugha katika maisha halisi.

THE CBE SUCCESS GUIDE BY PAUL WANGARI

KShs550.00 KShs500.00
*NEW BOOK* Education Has Changed. Has Your Child Adapted? Education today is not about memorizing notes and passing exams. It is about building thinkers, problem-solvers and leaders. The Competency-Based Education system demands skills, values and real understanding. As a parent, the question is simple: Is your child prepared for this shift? The CBE Success Guide equips Junior Secondary and Senior School learners with the mindset, skills and discipline needed to thrive under the new system.

Riko & Cera’s Adventures

KShs380.00 KShs350.00
Riko & Cera's Adventures Author :Kirangacha Mwaniki - Virtue Book Publishers 5-10 Years - CBC Riko loves adventures with his best friend Cera, but when a bicycle ride takes an unexpected turn, he learns an important lesson about staying safe. With a helmet and a little luck, Riko discovers that listening to those who care can turn any mishap into a valuable lesson. Full of fun and excitement, Riko and Cera's adventures show how simple safety measures can lead to big adventures! Perfect for kids ages 5-10.

INSIDE THE NEW CBC CURRICULUM –...

KShs750.00 KShs700.00
The new Competency Based Curriculum (CBC) is the process that Kenya Seeks to empower it's learners with the necessary Knowledge, Skills, Attitudes and Values to enable them to be socially and economically engaged and empowered for personal and national development. CBC gives the learners an opportunity to be actively involved in Learning. This book is written from an Educator's and Counselor's point of view and it explains the key aspects of the new curriculum, so that the key stakeholders can passionately join hands in making it a success.

Overreach: The Inside Story of Putin’...

KShs3,300.00 KShs2,900.00
Overreach: The Inside Story of Putin’s War Against Ukraine by Owen Matthews