Showing 21–23 of 23 results

KLB Visionary English Literacy Activi...

KShs325.00
KLB Visionary English Literacy Activities Grade 1 Learner's Workbook is based on the new Competency-Based Curriculum. It has numerous learner-centred activities for each learning strand and sub-strand that allow the learners to discover and create knowledge through doing rather than memorizing facts. The four language skills of listening, speaking, reading and writing are acquired through the involving activities that allow for maximum collaboration and participation among the learners. The activities are designed in a way that enables learners to pace their own learning and even to learn from their peers. The activities in the Learners' Workbook are tailored to develop the seven core competencies as spelt out in the new curriculum, namely communication and collaboration, self-efficacy, critical thinking and problem solving, creativity and imagination, citizenship, digital literacy and learning to learn. Learning in this Workbook is not just confined to the classroom but continued outside the class and even in the family and community. This link to a community is maintained throughout the book. Parent/caregiver engagement is emphasized so that learning becomes a life-long endeavour that goes beyond the classroom and the normal school situation. The Workbook has full-colour illustrations that make the content very attractive to the learners. thus making learning fun. The language used in the book is simple and easy to understand. This makes the desired learning outcomes easy to achieve without undue difficulty to the learners. This is one book that makes learning fun and learning concepts easy to grasp.

KLB Visionary Kiswahili Language Acti...

KShs314.00
KiswahIll Dadisi. Mazoezi ya Lugha ni msururu wa vitabu vipyo vilivyoandikwa kwa njia ya kipekee iii kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa umilisi. Vitabu katika msururu huu vitamwezesha mwanafunzi kupata uhalisi wa lugha katika stadi za kusikiliza. kuzungumza. kusoma na kuandika kama ilivyopendekezwa katika mtalaa mpya. Vitabu katika msururu vina mazoezi murua ambayo yatamchangamsha mwanafunzi na kumpa hamu ya kutaka kujifunza Lugha. Mazoezi haya yanakuza umilisi uliopendekezwa. maadili no kufahamisha kuhusu mosualaibuka. Kiaswahili Dadisi. Mazoezi ya Lugha. Mwongozo wa Mwalimu. Gredi ya I kina mifano halisi no yo kutosho kumwezesha mwalimu kuwasaidia wonafunzi kukuza umilisi unaokusudiwa. Katika mwongozo huu utapata: • utangulizi wa kina kuhusu mtotaa huu mpya wa umilisi • muhtosari wa umilisi, maadai. masualaibuka no shughuli nyinginezo zilizoratibiwa kufundishwa katika kilo surd • matokeo maalumu, maandalizi ya somo no shughuli zo ufunzaji wo kilo somo • mapendekezo ya majibu ya maswali yote katika Kitobu cha Mwanafunzi • mopendekezo yo shughuti za wonafunzi nje yo darasa • maelekezo ya kina kuhusu jinsi ya kutathmini wonafunzi. Kiswahili Dadisi. Mazoezi ya Lugha. Kitabu cha Mwanafunzi pomojo no Mwongozo wa Mwalimu vino shughuti. mazoezi no maelekezo tosha ambayo mwanofunzi no mwalimu watohitaji ili kufautu katika mtataa huu mpya wo

KLB Visionary Kiswahili Language Acti...

KShs255.00
KLB Mazoezi ya Kiswahill Gredi ya 1 (Kitabu cha Mwanalunzi) ni kitabu mojawapo kati ya vitabu vinavyochapishwa na Kenya Literature Bureau vya msururu wa KLB Visionary. Msururu huu wa vitabu umezingatia Mtalaa wa kiumilisi wa mwaka wa 2017 wa masomo ya shule za Msingi. Kitabu hiki kimekusudiwa kumwezesha mwanafunzi kukuza uwezo wa kutumia stadi zote nne za lugha ya Kiswahili: Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika. Kupitia stadi hizi, mwanafunzi anakuza uwezo wake wa lugha. Toleo hili limejumuisha mambo muhimu ambayo yanachangia ujifunzaji wa sasa ambayo ni masuala mtambuko, maswali dadisi, masuala ya linsia. utendaji wa mwanafunzi, picha murua za kuchangamsha na kuibua hamu ya kudadisi kwa mwanafunzi na mbinu tofauti za kumwezesha mwanafunzi kukuza uwezo wake wa kujifunza. Mazingira halisi ya mwanafunzi yamezingatiwa katika kukuza kazi hii. Hili linamwezesha mwanafunzi kujifunza katika hali halisi. Lugha sahili imetumika ili kurahisisha kuelewa kwa mada zote katika kitabu