Showing 281–300 of 478 results

Paa,Tai,Paa!- Ngano kutoka Afrika

KShs696.00 KShs400.00
Mwana Tai anaposombwa na dhoruba kutoka kiotani mwake, mkulima anabahatika kumpata na kumfuga pamoja na kuku wake.Lakini swali ni je,'huyu mwana Tai atafungika katika maisha ya kibandani kwa mkulima kama kuku au atajifunza kuruka na kuishi maisha ya akina Tai angani?
Kama ilivyotajwa nÄ… Askofu Desmond Tutu katika dibaji, hii ni ngano iliyosimuliwa kwa mguso wa kiutendaji na itawatia hamasa watoto kokote waliko ili 'waruke na wapae kama Tai!"