QUICK DELIVERY
Swift dispatch
ONLINE PAYMENT
Multiple options
EXPERT SUPPORT
Help when you need it
WIDE VARIETY
Thousands of books
GLOBAL SHIPPING
Worldwide delivery
0794 233 261
KShs890.00
Nuria Ranking: #1,132 in Fiction and Non FictionMAJI HAYAFUATI MIKONDO ni riwaya ya kipekee iliyoandikwa na mwandishi wa kike Felistas Richard Mahonge. Riwaya hii inazungumzia changamoto anazokumbana na mwanamke katika kufikia ndoto za maisha yake. Mama Sinta, Sinta na Mercy ni wahusika ambao mwandishi anawatumia katika kuonesha mchango wa mwanamke katika kujenga familia kimaadili na kiuchumi. Wahusika hawa wanachorwa na mwandishi kama wanawake wenye utashi mkubwa wa kupambanua mambo pamoja na ujasiri mkubwa katika kupambans na changamoto mbali mbali zinazojitokeza katika maisha yao. Kwa kutumia wahusika hawa na wengine, mwandishi anasisitiza suala la umuhimu wa wazazi kushiriki kwa pamoja katika kulea watoto na kuijenga familia kwani ndio mhimili wa taifa lenye uadilifu. Mwandishi anapiga vita wazazi na walezi ambao wanashiriki kwa makusudi katika kuangamiza kizazi kipya Anakemea suala la matumizi ya madawa ya kulevya, biashara ya binadamu pamoja na rushwa. Mwandishi anaonesha pia umuhimu wa vyombo vya dola katika kusimamia haki za wanaodhulumiwa katika jamii.
Swift dispatch
Multiple options
Help when you need it
Thousands of books
Worldwide delivery
No account yet?
Create an Account
Reviews
Clear filtersThere are no reviews yet.