QUICK DELIVERY
Swift dispatch
ONLINE PAYMENT
Multiple options
EXPERT SUPPORT
Help when you need it
WIDE VARIETY
Thousands of books
GLOBAL SHIPPING
Worldwide delivery
0794 233 261




UShs17,750.00
Nuria Ranking: #9,955 in BooksAwamu ya pili, Oktoba, mwaka 1978, jeshi la Idi Amin lilivamia Mkoa wa Kagera, nchini Tanzania. Katika uvamizi huu, wanajeshi wa Uganda walimuua Hans Poppe, Mkuu wa Polisi na raia wengine wengi na kutangaza kuwa Mkoa wa Kagera ulikuwa sehemu ya Uganda. Shambulio hili linasababisha Mwalimu Julius Nyerere kutangaza vita dhidi ya Nduli kupitia ile hotuba maarufu, akisema:
Wamanchi!
Sasa tuna kazi maja ta!
Кumpiga!
Sahabu ya kampiga tunaya!
Niya ya kumpiga tunayo!
Na uwezo wa kumpiga tunayo!
Mwandishi anaonesha kuwa, hatimaye, mwaka 1979 Nduli Idi Amin aling’olewa na wanajeshi wa JWT. Akakimbilia Libya, na kufariki dunia akiwa huko Saudi Arabia, tarehe 16/8/2003.
Hii ni tamthiliya muhimu kwa kila mpenda amani, haki na maendeleo kote duniani.
Swift dispatch
Multiple options
Help when you need it
Thousands of books
Worldwide delivery
No account yet?
Create an Account
Reviews
Clear filtersThere are no reviews yet.