Author:Â Timothy Arege
ISBN:Â “9780195738353”
0794 233 261




KShs690.00
Nuria Ranking: #1 in Secondary (8-4-4)‘Fani ya Ushairi kwa Shule za Upili’ ni kitabu kilichofanywa utafiti wa kina kuondoa dhana ya ugumu. Kitabu kimeandikwa kwa utaalamu mkubwa wa kumfafanulia mwanafunzi utanzu wa ushairi. Kila kipengele cha ushain kimeelezwa kwa npa nyepesi na kwa undani zaidi kwa lengo la kurahisisha uelewekapo.
n
nMada zote za ushairi kwenye silabasi ya Kiswahili kwa Shule za Upili zimeshughulikiwa kwa kina na mifano anuwai kutolewa. Kila mfano umefafanuliwa kwa undani wa kumpa mwanafunzi mwangaza zaidi katika mada husika.
n
nMwishoni mwa kila sura kuna maswali yaliyotolewa. Maswali haya yatamwezesha mwanafunzi kupima uelewa wake katika mada alizosoma. Yanatahini stadi zote za ufumbuzi.
Author:Â Timothy Arege
ISBN:Â “9780195738353”
Is there really a ghost haunting Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen? Moses, his friend King Kong, and the rest of the gang in Dormitory 3 don't believe in ghosts. That is, they are pretty sure they don't. But then who, or what, is the weird white figure flitting about the school compound at night? Where did the mysterious bloodstains come from? And who was responsible for the sinister laughter outside Miss Namukasa's door?
The deputy headmaster, Mr Karanja, believes he has the answer to all these questions: it's Dorm 3 trying to be funny. So HM and KK, together with Rukia, Itchy Fingers and the rest, set out to grab the ghost before it gets them all expelled.
This is the sixth of Moses' witty chronicles of life in Uganda's most awful school.
Swift dispatch
Multiple options
Help when you need it
Thousands of books
Worldwide delivery
No account yet?
Create an Account