Author:Â Ipara Isaac, Maina Godfrey
ISBN:Â “9780195734232”
0794 233 261

KShs525.00
Nuria Ranking: #1 in Secondary (8-4-4)‘Fani ya Isimujamii kwa Shule za Sekondari’ ni kitabu kitokanacho na juhudi za makusudi za kuziba pengo la ukosefu wa vitabu kwenye ufundishaji wa somo la Isimujamii katika shule za sekondari. Kitabu hiki kimeandikwa na wataalamu wenye tajriba pana katika taaluma ya lugha na ufundishaji wake. Ni zao la utafiti wa kina na tathmini ya mahitaji ya wanafunzi na jamii. Upekee wa kitabu hiki unatokana na jinsi kinavyozingatia mahitaji ya walengwa. Kitabu kimekusanya mada na vipengele vyote vya Isimujamii vilivyomo katika silabasi mpya na kuvizamia kwa uketo. Aidha, maudhui yameshughulikiwa kwa namna inayosisimua na kuchochea hamu ya wanafunzi na walimu. Maelezo nayo yametolewa kwa utoshelevu na kwa njia sahali inayobainisha kwa uwazi dhana na hoja ili kurahisisha usomaji na uelewa. Mifano kemkemi inayokita katika mazingira na miktadha halisi inayofahamika imetolewa ili kukipa kitabu nguvu za kipekee. Kila sehemu ina maswali yenye lengo la kuzindua fikira za walengwa, kuwapa mazoezi na kuwapiga msasa. ‘Fani ya Isimujamii kwa Shule za Sekondari’ kimeandikwa ili kukidhi kikamilifu mahitaji ya silabasi mpya ya Kiswahili na kuwapa wanaokitumia umilisi katika matumizi ya lugha kwenye nyanja mbalimbali. Kwa hakika kitabu hiki ni wenzo tosha kwa mwanafunzi anayejiandaa kuukabili ipasavyo, na kwa kujiamini, Mtihani wa Kiswahili wa Kitaifa wa Kidato cha Nne.
Author:Â Ipara Isaac, Maina Godfrey
ISBN:Â “9780195734232”
Fani ya Fasihi Simulizi, kwa Gredi ya 10, 11 na 12Â kimeandikwa kwa utaalamu mkubwa ili kufanikisha kikamilifu ufundishaji na ujifunzaji wa fasihi simulizi katika kiwango hiki. Kitabu hiki kimeshughulikia kwa kina na kwa njia ya wazi na nyepesi tanzu na vipera vya fasihi simulizi katika mtaala wa Gredi ya Kumi hadi Gredi ya Kumi na mbili.
Katika kitabu hiki, utapata:
The day King Kong and I were kidnapped started off like any other Saturday."
So writes Moses, Uganda's most notorious schoolboy, at the start of his yet another wild adventure.
The deputy headmaster, Mr Karanja, has decided that the two friends must have their hair cut. They spend a pleasant morning in town, enjoying the freedom from Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen - until a sleek Mercedes Benz appears and their 'holiday' comes to an abrupt end. Their hairstyle thrusts them deep into the criminal underworld and they only escape being sold into slavery by the skin of their teeth.
This is the fourth of Moses' witty chronicles of life in Uganda's most awful school.

Swift dispatch
Multiple options
Help when you need it
Thousands of books
Worldwide delivery
No account yet?
Create an Account