Author:Â Shullam Nzioka
ISBN:Â “9789914442854”
0794 233 261
KShs330.00
Nuria Ranking: #8 in ReadersTumalize anashangazwa na hatua ya baba yake kuwapa kitu fulani, watu fulani, kila siku asubuhi anapoenda shuleni. Kitendo cha baba yake kinamtia mshawasha wa kutaka kujua ni kitu gani hicho wanachopewa watu wale. Juhudi zake za kutafuta maelezo kutoka kwa baba yake kuhusu kitu hicho na sababu ya yeye kukitoa kwa watu wale zinagonga mwamba. Kwa sababu hiyo, anaapa kufanya juu chini ill apate kujua kitu hicho, na sababu inayofanya watu wale wapewe kitu hicho.
n
nJe, Tumalize atapata kujua kitu hicho wanachopewa watu hao? Je, atafanya nini ili kubaini kitu hicho? Je, ni nini kitatokea atakapopata kugundua kitu chenyewe?
n
nTwala Wapi Leo? ni kisa cha kusisimua cha kiupelelezi. Kisa hiki kinaangazia masuala ya malezi, elimu, ufisadi, ujasiriamali miongoni mwa masuala mengine katika jamii. Kisa hiki kimesheheni mbinu na mitindo mbalimbali ambayo itamfaidi mwanafunzi katika kujenga ubunifu wake na vilevile lugha yake.
n
nKuhusu mwandishi
n
nShullam Nzioka ni mwandishi, mfasiri, msawidi na ashiki wa lugha ya Kiswahili. Ameandika kazi mbalimbali za fasihi, zikiwamo novela, hadithi fupi na hadithi za watoto. Kitabu chake, Mbona Hivi? kilishinda tuzo ya Jomo Kenyatta Prize for Literature kitengo cha kijana mnamo mwaka wa 2021. Baadhi ya kazi zake zilizowahi kuchapishwa ni pamoja na Si Kitu na Shani ya Saa (hadithi fupi) iliyo katika kitabu Utashi wa Dola. Mbali na hayo, amewahi kufanya kazi katika shirika la International Bible Students Association.
Author:Â Shullam Nzioka
ISBN:Â “9789914442854”
ALIVE: A New Christian Religious Education Course is a new series that comprehensively addresses the objectives and requirements of the Christian Religious Education (CRE) Syllabus for secondary schools.
nDeveloped by a team of subject experts and experienced teachers, this innovative series combines knowledge acquisition with fun elements and real-life occurrences to deliver an exciting top-notch learning experience.
nThis series aims at moulding learners into role models in society by instilling positive behavioural change. It also helps them to develop a good attitude and life skills that will enable them to effectively deal with emerging issues.
nThe Student's Book for Form 1 is skilfully written to enhance the learners' understanding of the main concepts of the CRE course. It also guides the learners on how to incorporate the concepts and lessons learnt in their daily lives. This coursebook is furnished with numerous illustrations, various assessment exercises, case studies and a glossary of new terms.
This coursebook also provides a modular activity that not only focuses on the overall theme of the course, but also on student leadership, an aspect that is of great importance to students. The activity presents modules that are easy to adopt and apply in the school set-up.
Is there really a ghost haunting Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen? Moses, his friend King Kong, and the rest of the gang in Dormitory 3 don't believe in ghosts. That is, they are pretty sure they don't. But then who, or what, is the weird white figure flitting about the school compound at night? Where did the mysterious bloodstains come from? And who was responsible for the sinister laughter outside Miss Namukasa's door?
The deputy headmaster, Mr Karanja, believes he has the answer to all these questions: it's Dorm 3 trying to be funny. So HM and KK, together with Rukia, Itchy Fingers and the rest, set out to grab the ghost before it gets them all expelled.
This is the sixth of Moses' witty chronicles of life in Uganda's most awful school.
Swift dispatch
Multiple options
Help when you need it
Thousands of books
Worldwide delivery
No account yet?
Create an Account