QUICK DELIVERY
Swift dispatch
ONLINE PAYMENT
Multiple options
EXPERT SUPPORT
Help when you need it
WIDE VARIETY
Thousands of books
GLOBAL SHIPPING
Worldwide delivery
0794 233 261
UShs20,750.00
Nuria Ranking: #359 in Fiction and Non FictionMzee Jacob anafariki ghafla akiwa nyumbani kwake. Uchunguzi unabajnisha kuwa amefariki kwa kuvuta sigara yenye sumu. Siku chache baadaye, binti yake, Mary anapigwa risasi. Msururu wa vifo unaendelea kutokea mbali ya kuwa inspekta Wingo anajitahidi kufuatilia kwa karibu kuweza kubaini chanzo na mhusika wa mauaji haya. Mbaya zaidi, kila kifo kinapotokea, FAMBO anampigia inspekta Wingo simu na kumtaarifu kuwa punde si punde fulani atafariki.
Je, inspekta Wingo anaweza kutegua kitendawili na kuzuia kifo kinachotazamiwa kutokea? Na je, FAMBO ni nani hadi afahamu yajayo? Na je, anahusika katika mauaji haya?
Swift dispatch
Multiple options
Help when you need it
Thousands of books
Worldwide delivery
No account yet?
Create an Account
Reviews
Clear filtersThere are no reviews yet.