Magesapages

Magesapages

  • No ratings found yet!

THE RICH FORMULA

KShs3,500.00

*The Rich Formula* _A Path to Financial Freedom_ explores the transformative journey from poverty to prosperity. Born into a world of limitless opportunities, this book teaches that being born poor is not a mistake but a chance to unlock your hidden talent and sell it to the world. Through practical insights on financial literacy, entrepreneurship, and money-making strategies that require little to no capital, The Rich Formula reveals the essential steps to achieve financial success. Whether you're a producer or consumer, this guide shows that dying poor is a choice — one you don’t have to make.

*Among some of the book's topics are :* Born poor ; It's Not Your Mistake Financial Literacy is the Key Become an Entrepreneur Producer Vs consumer Money -Making tips that require little to no money Die Poor ; It's your Mistake

KANUNI YA UTAJIRI

KShs3,500.00

KANUNI YA UTAJIRI* _Njia ya Uhuru wa Kifedha_ inachunguza safari ya mabadiliko kutoka kwa umaskini hadi ustawi. Ukiwa umezaliwa katika ulimwengu wa fursa zisizo na kikomo, kitabu hiki kinafundisha kwamba kuzaliwa maskini si kosa bali ni nafasi ya kufungua kipaji chako kilichofichwa na kukiuza kwa ulimwengu. Kupitia maarifa ya vitendo kuhusu ujuzi wa kifedha, ujasiriamali, na mikakati ya kutengeneza pesa ambayo huhitaji mtaji mdogo au bila mtaji, kanuni ya Utajiri hufichua hatua muhimu za kufikia mafanikio ya kifedha. Iwe wewe ni mzalishaji au mtumiaji, mwongozo huu unaonesha kuwa kufa maskini ni chaguo - sio jambo la lazima.

*Miongoni mwa baadhi ya mada za kitabu hiki ni:* 1.Kuzaliwa maskini; Sio Kosa Lako 2.Elimu ya Kifedha ni Msingi 3.Kuwa Mjasiriamali 4.Mtayarishaji Vs mtumiaji 5. Vidokezo vya njia za Kutengeneza pesa zinazohitaji mtaji kidogo au bila mtaji kabisa. 6.Kufa Maskini; Ni Kosa lako.

A GUIDE TO PROPER UPBRINGING OF YOUTH

KShs1,000.00
  1. A GUIDE TO PROPER UPBRINGING OF YOUTH is your ultimate playbook for raising strong, confident, and resilient young people in today’s rapidly changing world. Whether you’re a parent, teacher, or mentor, this book gives you the insights, tools, and strategies you need to guide the next generation through the twists and turns of modern life.
Packed with real-world advice and inspiring stories, this guide dives deep into the heart of youth development. From building emotional intelligence and self-confidence to tackling tough issues like peer pressure, social media, and mental health, this book is your go-to resource for navigating every challenge with clarity and confidence. A GUIDE TO PROPER UPBRINGING OF YOUTH isn’t just about surviving the journey of raising kids; it’s about thriving in it. Learn how to foster open communication, instill lasting values, and nurture a sense of purpose in young minds. Whether you’re dealing with the struggles of adolescence or the complexities of digital influence, this guide equips you with everything you need to raise not just good kids, but future leaders. For anyone committed to shaping the next generation, this book is an engaging and empowering must-read!

A GUIDE TO PROPER UPBRINGING OF CHILDREN

KShs1,000.00
Are you ready to raise confident, compassionate, and resilient children in a world full of challenges? A GUIDE TO PROPER UPBRINGING OF CHILDREN is the ultimate toolkit every parent and educator needs to shape a brighter future for their kids. This book doesn’t just teach you how to survive the ups and downs of parenting—it shows you how to thrive at it! Packed with actionable tips and real-life examples, this guide covers everything from fostering emotional intelligence and discipline to navigating the tricky waters of screen time, peer pressure, and building strong family values. It’s more than just advice—it’s your roadmap to raising kids who are not only successful but also kind, confident, and ready to take on the world. Whether you're a new parent or a seasoned educator, A GUIDE TO PROPER UPBRINGING OF CHILDREN will inspire and empower you to raise the next generation of happy, well-adjusted leaders. Don’t miss out on the chance to transform your parenting journey and help your children thrive—grab your copy today!

MWONGOZO WA MALEZI BORA YA VIJANA

KShs1,000.00
Nina furaha kubwa kuandika dibaji ya kitabu hiki muhimu sana, MWONGOZO WA MALEZI BORA YA VIJANA. Kitabu hiki kinatoa mwanga wa kipekee katika suala zima la malezi ya vijana, kundi ambalo mara nyingi linakabiliwa na changamoto nyingi zinazotokana na mabadiliko ya kimwili, kisaikolojia, na kijamii. Mwongozo huu umeandikwa kwa umahiri na ujuzi mkubwa, ukitumia lugha rahisi kueleweka lakini yenye uzito wa kitaaluma. Mwandishi ameanza kwa kuchambua swali msingi, "Kijana ni nani?" na akaweka msingi mzuri kwa kuelezea chimbuko la maisha ya vijana. Kuelewa hali hii ya msingi ni muhimu sana kwa mzazi, mlezi, na hata jamii nzima ili kumuelewa kijana anavyopitia hatua mbalimbali za maisha. Kitabu hiki hakishii tu kutoa maarifa ya kinadharia, bali pia kinagusa mambo ya kiuhalisia kama vyanzo vya migogoro kati ya vijana na wazazi au walezi—migogoro ambayo wengi wetu tunashuhudia au kukabiliana nayo katika maisha ya kila siku. Mwandishi ametoa mwongozo wa jinsi ya kushughulikia migogoro hii na kujenga uhusiano bora na vijana, jambo ambalo ni muhimu sana ili kuwa na kizazi kinachowajibika na chenye maadili mema. Sehemu inayotoa ushauri kwa vijana inaangazia masuala nyeti yanayowahusu vijana, ikiwasaidia kuelewa umuhimu wa kujitambua, kuchukua hatua stahiki, na kuepuka mtego wa maamuzi mabaya ambayo yanaweza kuathiri maisha yao ya baadaye. Usahihi wa ushauri huu unaendana kabisa na mahitaji ya vijana wa sasa, ambao wanahitaji mwongozo madhubuti kutoka kwa walezi wao. Kwa ujumla, MWONGOZO WA MALEZI BORA YA VIJANA ni hazina ya maarifa na mwongozo wa vitendo kwa kila mzazi, mlezi, au mtu yeyote anayehusika na malezi ya vijana. Mwandishi amefanikiwa kuunganisha uzoefu wake wa kitaaluma na wa maisha ili kutoa suluhisho la changamoto nyingi zinazowakabili vijana na wazazi katika jamii ya leo. Natoa wito kwa kila anayesoma kitabu hiki kukitumia kama chombo cha kuboresha maisha ya vijana wetu na, hatimaye, jamii yetu kwa ujumla. Pongezi nyingi kwa rafiki yangu Magesa kwa kazi hii bora, yenye ufanisi na yenye kugusa maisha ya wengi. Naamini kabisa kuwa kitabu hiki kitakuwa msaada mkubwa kwa wazazi, walezi, na vijana katika kujenga msingi imara wa maadili, nidhamu, na mafanikio katika maisha.

MWONGOZO WA MALEZI BORA YA WATOTO

KShs1,000.00
Ndani ya kitabu hiki utapata fursa ya kujifunza juu ya tabia na changamoto mbalimbali walizonazo watoto, sababu zake na namna ya kukabiliana nazo. Kitabu hiki pia kitakusaidia sana kuboresha malezi unayoyatoa kwa watoto wako kwani kitakupa majibu kwa maswali mengi ambayo huwa unajiuliza kuhusu watoto bila kupata majibu yake kwa wepesi. Mambo mengi ya kitaalamu kuhusu watoto yameelezwa kwa lugha rahisi ili kuweza kueleweka kirahisi hata kwa mzazi au mlezi asiye na elimu kubwa au ujuzi kuhusu malezi na saikolojia ya watoto. Nakuhakikishia mlezi mwenzangu kuwa hutajuta kusoma kitabu hiki na utakuwa balozi mwema wa hiki kitabu kwa wazazi na walezi wengine, usisite pia kutafuta kitabu changu kingine cha MWONGOZO KWA MALEZI BORA YA VIJANA.
delivery

QUICK DELIVERY

Swift dispatch

ONLINE PAYMENT

Multiple options

EXPERT SUPPORT

Help when you need it

WIDE VARIETY

Thousands of books

GLOBAL SHIPPING

Worldwide delivery

Shopping cart
Sign in

No account yet?

Shop
0 Wishlist
0 items Cart
My account