QUICK DELIVERY
Swift dispatch
ONLINE PAYMENT
Multiple options
EXPERT SUPPORT
Help when you need it
WIDE VARIETY
Thousands of books
GLOBAL SHIPPING
Worldwide delivery
0794 233 261




KShs1,300.00 KShs1,000.00
In stock
Katika pilkapilka za kulivuka daraja la ukata ili kuupakata ukwasi, wapo wa-tumiao njia mkato na wapo wajitumao kwa bidii na haki wakimaizi kuwa hawafai kuwa kupe. Kitumbua cha mauti ni antholojia iliyosukwa ikasuki-ka kama mswala.
Imejumuisha waandishi wenye utaalamu wa hali ya juu na wenye macho mapevu yaliyoangaza maudhui ya kisasa. Inajivunia anwani anuai zenye mafunzo ya heki-ma na tabasuri zinazotahadharisha na kueneza injili ya usawa na kupinga mitazamo hasi katika jamii ya wanaleo. Wahariri wamepiga mbizi na kuzuka na upanzi muafaka utakaokufanya ukienzi Kiswahili na fasihi. Kaka Fred, Ustadh Kamau na Okwalo Wambani ni mfano tosha wa wahariri mahiri wa fasihi.
Visa vina tamathali aali aali zitakazomfanya msomi kutoiweka chini nakala hii. Ama kweli hutahema na kushika tama kwa kujinyakulia diwani hii. Usingoje kuhadithiwa jamani! Kaa mkao wa kula ule shibe yako.
Swift dispatch
Multiple options
Help when you need it
Thousands of books
Worldwide delivery
No account yet?
Create an Account
Reviews
Clear filtersThere are no reviews yet.