QUICK DELIVERY
Swift dispatch
ONLINE PAYMENT
Multiple options
EXPERT SUPPORT
Help when you need it
WIDE VARIETY
Thousands of books
GLOBAL SHIPPING
Worldwide delivery
0794 233 261




KShs1,050.00
Nuria Ranking: #1,132 in Fiction and Non FictionWapiganaji kumi, wakiwemo Watanzania watatu, wanaounda kikosi maalum cha jeshi la Umoja wa Mataifa kilichotumwa kulinda amani nchini Sierra Leone, wanashambuliwa na mdunguaji aliyejificha katika msitu walikokuwamo. Sita kati yao wanauawa, mmoja baada ya mwingine, kwa kudunguliwa na mdunguaji huyo hatari. Ni Mtanzania mmoja tu ndiye anayerudi nchini akiwa hai, huku akirejesha nyumbani miili ya wapiganaji wawili waliouawa na mdunguaji huko Sierra Leone, Miaka mitatu baadaye, mpiganaji aliyeshinda vita vingi vya msituni, Baddi Gobbos, anajikuta akikabiliana na vita vingine katikati ya jiji la Dar pale anapojikuta akiwindwa na wauaji asiowajua. Je, mdunguaji wa Sierra Leone kaingia Tanzania? Wakati huo huo Baddi Gobbos anajikuta akiwa mateka aliyeshindwa katika vita vigumu kuliko vyote alivyowahi kukabiliana navyo maishani mwake… vita vya mapenzi…
Swift dispatch
Multiple options
Help when you need it
Thousands of books
Worldwide delivery
No account yet?
Create an Account
Reviews
Clear filtersThere are no reviews yet.