QUICK DELIVERY
Swift dispatch
ONLINE PAYMENT
Multiple options
EXPERT SUPPORT
Help when you need it
WIDE VARIETY
Thousands of books
GLOBAL SHIPPING
Worldwide delivery
0794 233 261




KShs890.00
Nuria Ranking: #1,132 in Fiction and Non FictionGamba la Nyoka ni riwaya inayosawiri mapambano kati ya dola na wananchi wa hali ya chini waliogomea utekelezaji wa mifumo ya uzalishaji mali iliyowalazimisha kuondoka katika maisha na maeneo waliyoyafahamu baada ya ukombozi. Mwandishi anaangazia namna dola ilivyotumia mabavu kupambana na wakulima wa kawaida ambao hawakukubaliana na uamuzi wa kuwahamisha kutoka katika makazi yao ya jadi na kuwapeleka katika vijiji “vilivyopangwa.” Ni riwaya inayoangazia pupa za kisiasa katika kufanya uamuzi, na athari zake kwa watu wa kawaida. Unjozi wa mawanio ya kujenga mfumo mpya vijijini unaoneshwa, na hali kadhalika vikoa vya upinzani, baadhi vikiwa ndani ya makanisa na baadhi ndani ya serikali yenyewe. Mbali na uhalisia huo, riwaya inaeleza pia falsafa ya mwandishi kuhusu maisha na ubaho, kuhusu dini, imani na Mungu, na kuhusu mabadiliko na mageuzi duniani.
Swift dispatch
Multiple options
Help when you need it
Thousands of books
Worldwide delivery
No account yet?
Create an Account
Reviews
Clear filtersThere are no reviews yet.