QUICK DELIVERY
Swift dispatch
ONLINE PAYMENT
Multiple options
EXPERT SUPPORT
Help when you need it
WIDE VARIETY
Thousands of books
GLOBAL SHIPPING
Worldwide delivery
0794 233 261
£7.95
Nuria Ranking: #1,132 in Fiction and Non FictionWatu wasiojulikana katika nchi ya Weusi Kusini, wanapambana vikali kumshambulia Gavana wa nchi hiyo, bwana Bongo kwa lengo la kummaliza. Katika hali ya kushangaza, vyombo vya usalama vya nchi ya Weusi Kusini, ambavyo vilipaswa kumpa ulinzi Gavana, vinasuasua kufanya hivyo. Hofu na mashaka vinatamalaki kichwani mwa Gavana; mnyororo wa maswali unajirefusha kichwani mwake.
Ndipo anapoibuka Elvis Madiba, kijana machachari kutoka ndani ya vyombo vya usalama. Anamfuata Gavana na kumwachia sarafu. Huo ndiyo unakuwa mwanzo wa kuibuka chuki na uhasama, visasi na uhalifu, minyukano, nk
Swift dispatch
Multiple options
Help when you need it
Thousands of books
Worldwide delivery
No account yet?
Create an Account
Reviews
Clear filtersThere are no reviews yet.