Author:Â Assumpta Matei
ISBN:Â “9789914442847”
0794 233 261
KShs365.00
Nuria Ranking: #1 in ReadersJe, hatima ya maisha ya Nadia ni ipi? Ni zawadi gani ya thamani itakayomwokoa? Je, ni kujiamini kwake au ni ubunifu wake? Je, ni huruma au hisani yake? Je, ni shajara yake inayosema yale ambayo moyo wake unachelea kuyasema? Au labda ni Mwalimu Daniela ambaye amefanikiwa kukitegua kitendawili cha maisha yake?
n
n‘Zawadi ya Thamani’ ni hadithi ambayo imesimuliwa kwa lugha nyepesi yenye ubunifu na mvuto mkuu. Upekee wa hadithi hii umo katika uwezo wayo wa kumteka msomaji kuanzia mwanzo hadi mwisho, na wakati uo huo kumpa mafunzo anuwai kuhusu namna ya kukabiliana na changamoto za maisha. Hadithi hii imeangazia masuala mtambuko mbalimbali na kusawiri maadili yanayopendekezwa katika Mtaala wa Daraja ya Awali ya Shule za Sekondari.
Author:Â Assumpta Matei
ISBN:Â “9789914442847”
The NPPE Reading Scheme forms an important part of the New Progressive Primary English (NPPE) course.
nThe storybooks for each grade are specially written to emphasize specific language skills learnt in the main course. Here is a reading scheme that offers the modern child an excellent mix of graded stories all packed with many exciting things. Now the child has fun that's built to last.
The day King Kong and I were kidnapped started off like any other Saturday."
So writes Moses, Uganda's most notorious schoolboy, at the start of his yet another wild adventure.
The deputy headmaster, Mr Karanja, has decided that the two friends must have their hair cut. They spend a pleasant morning in town, enjoying the freedom from Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen - until a sleek Mercedes Benz appears and their 'holiday' comes to an abrupt end. Their hairstyle thrusts them deep into the criminal underworld and they only escape being sold into slavery by the skin of their teeth.
This is the fourth of Moses' witty chronicles of life in Uganda's most awful school.
Swift dispatch
Multiple options
Help when you need it
Thousands of books
Worldwide delivery
No account yet?
Create an Account