Author: Felix Kiruthu et al
ISBN: “9780195731293”
0794 233 261
KShs300.00
Nuria Ranking: #1 in Teachers GuideAuthor: Felix Kiruthu et al
ISBN: “9780195731293”
Soma nasi, Kusoma na kuandika Kiswahili ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa Umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka.
nSoma nasi, Kusoma na Kuandika Kiswahili, Kitabu cha Mwalimu, Gredi ya 2 kina mifano halisi na ya kutosha kumwezesha mwalimu kuwasaidia wanafunzi kukuza umilisi unaokusudiwa. Katika mwongozo huu utapata:
nSoma nasi, Kusoma na Kuandika Kiswahili, Kitabu cha Mwanafunzi pamoja na Mwongozo wa Mwalimu vina shughuli, mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwanafunzi na mwalimu watahitaji ili kufaulu katika mtaala huu mpya wa Umilisi.
Swift dispatch
Multiple options
Help when you need it
Thousands of books
Worldwide delivery
No account yet?
Create an Account