ENJOY FREE DELIVERY WITHIN NAIROBI FOR ORDERS ABOVE 10,000
Nuria App
Kenyan Shilling (KSh)
  • Kenyan Shilling (KSh)
  • United States (US) dollar ($)
  • Pound sterling (£)
  • Ugandan Shilling (UGX)
0 Wishlist
Login / Register
  • Home
  • Shop
  • Kenyan Books
  • Rare Books
  • Gift Card
  • Blog
  • Contact Us
  • SELL ON NURIA
  • VENDOR LOGIN
Menu
6 items KShs24,152.00
Browse Categories
  • Kenya Books
  • Rare Books
  • International Bestsellers
  • Self Help & Motivation
  • Fiction
  • Autobiography
  • Business
  • Children’s Books
  • Kids & Teens
  • African Interest
  • Educational Books
  • Romances & Thrillers
HELP / SUPPORT

0794 233 261

6 items KShs24,152.00
Click to enlarge
Home Kenya Secondary (8-4-4) Form 4 Readers, Education Books Kenya Secondary (8-4-4) Pigo la Nafsi
Mabandia KShs375.00
Back to products
Kanda ya Siri KShs560.00

Pigo la Nafsi

KShs475.00

Nuria Ranking: #7 in Secondary (8-4-4)

Purchase this product now and earn 1 Point!

“Halima mwanangu, wakati mwingine nashindwa kuelewa dunia inaelekea wapi. Visa kama hivyo ni vingi tu katika maisha yetu siku hizi. Ajabu ni kuwa, licha ya madhalimu hao kufikishwa mbele ya sheria, wao hufanya hila wakajipa uhuru.” Matumaini ya familia ya Halima yanafufuka pale anapopata ajira kama mjakazi. Kwake Halima, anaiona fursa hii kuwa muhimu zaidi katika kutimiza maazimio yake na ndoto zake maishani. Maisha yanamwia mazuri Dar es Salaam hadi siku moja ambapo mambo yanaharibika na kumtia wasiwasi kuhusu mipango yake na mchumba wake. Je, ni mambo gani yaliharibika, na nani kayaharibu?
n
n‘Pigo la Nafsi’ ni hadithi inayosimuliwa kwa upekee wa namna yake. Hadithi hii imejaa mafunzo yanayoakisi uhalisia wa maisha, katika dunia ya sasa.

Your order qualifies for free delivery within Nairobi!
Add to wishlist
SKU: 6e40bb76aed0 Category: Secondary (8-4-4) Tags: Fasihi Asiria Kutoka Afrika (FAA), Kiswahili, Oxford University Press, Readers
Share:
Close
  • Description
  • Shipping
  • Vendor Info
  • More Products
Description

Author: Ramadhan Makoleko

ISBN: “9780195746570”

Shipping
Vendor Info

Vendor Information

  • Store Name: Oxford University Press East Africa
  • Vendor: Oxford University Press
  • No ratings found yet!
More Products

Moses in a Muddle

Uganda
KShs500.00
A girl student in a place like this would be scandalous!" exclaims Mr Karanja, deputy headmaster of Mukibi's Educational institute for the Sons of African gentlemen. Mr Mukibi, however, thinks it is a splendid idea and so do the boys when they hear the sensational news. n Moses and King Kong, who are the first to meet Juli Sekabanja, are not so sure. But Juli has decided that the two friends are just the allies she needs to help her catch a gang of spies she claims to have discovered. Thinking of their share of the reward, they agree. n By the end of this hilarious adventure, even Mr Mukibi has changed his mind about the merits of co-education!
Add to wishlist
Add to basket
Quick view

Soma Nasi Kusoma na Kuandika Kitabu cha Mwanafunzi Gredi 3

Primary
KShs420.00

Soma nasi, Kusoma na kuandika Kiswahili ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee iii kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wo Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza. kuzungumza, kusoma na kuandika. Aidha. vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi utiopendekezwa. maaditi na kufahamisha kuhusu masuala ibuka. Katika Soma nasi, Kusoma na kuondika Kiswahili, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi 3. utapata:

n
    n
  • Mada zilizopangwa kwa kuzingatia mtalaa mpya
  • n
  • Mifano halisi ya miktadha ambapo lugha hutumika
  • n
  • Mazoezi nje ya darasa ili kuendeleza ujifunzaji na kuwashirikisha wanafunzi katika shughuli za kijamii zinazokuza ujifunzaji
  • n
  • Mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja
  • n
  • Jinsi ya kuwashirikisha wazazi na walezi ill kuimarisha uwajibikaji
  • n
  • Sehemu ya 'Tujifurahishe inayolenga kuwasisimua wanafunzi wanapotumia lugha.
  • n
n

Soma nasi, Kusoma na kuandika Kiswahili. Kitabu cha Mwanafunzi kina Mwongozo wa Mwalimu ambao pia una mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwaltmu atahitaji ili kumwongoza mwanafunzi aweze kufaulu katika mtalaa huu mpya wa Umilisi.

n

Oxford, chaguo lako"

Add to wishlist
Add to basket
Quick view

NPPE: RS.2e – Wet all Over

Readers
KShs215.00

The NPPE Reading Scheme forms an important part of the New Progressive Primary English (NPPE) course.

n

The storybooks for each grade are specially written to emphasize specific language skills learnt in the main course. Here is a reading scheme that offers the modern child an excellent mix of graded stories all packed with many exciting things. Now the child has fun that's built to last.

Add to wishlist
Add to basket
Quick view
Placeholder

CBC Workbooks Answer Book Grade 6

Primary
KShs610.00
Author:  ISBN: “9780195749823”
Add to wishlist
Add to basket
Quick view

Shortchanged!

Secondary (8-4-4)
KShs375.00
Mr. Kozia decides enough is enough and is ready to spill the beans. The school is ablaze with stories about the elegant nand beautiful Barbara. Is it true that all that glitters is not gold?
Add to wishlist
Add to basket
Quick view

Active Mathematics Learner’s Book 9

Learners Books
KShs845.00
Oxford Active Mathematics is a series specially written to provide practical experiences that support the acquisition of skills for the Competency-Based Curriculum. Books in the series have a wide range of activities that learners will find exciting and motivating. nThe activities are aimed at the acquisition and appreciation of the core competencies, values, and Pertinent and Contemporary Issues (PCIs). n nOxford Active Mathematics, Learner’s Book Grade 9 has: n
    • n
    • 'Why learn this' sections aimed at helping learners to appreciate the application of the concept learnt in nreal life.
n
    • Numerous interactive activities to enable learners to acquire practical skills to solve problems in the nenvironment.
n
    • 'Know more' sections that provide explanations of concepts learnt.
n
    • Numerous assessment exercises for self-evaluation by the learners.
n
    • 'Extended activity' sections to enhance critical thinking and problem-solving skills.
n
    • 'Further activity' sections to allow learners to engage the family in the learning process.
n
    • 'Digital activity' sections that allow learners to apply ICT in learning.
n nA Teacher’s Guide is available for each Learner’s Book in the series. nOxford, your companion for success!
Add to wishlist
Add to basket
Quick view

Related products

Musa na Rafiki wa Barua

Secondary (8-4-4)
KShs460.00
Ari ya kuwasiliana na marafiki wa barua inashabikiwa sana katika Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen. Si ajabu kwamba Musa na King Kong wamo katika wimbi hilo la msisimko. n nKando na hayo, Kasali — mvulana mgeni — anatengeneza mvinyo kwa mashine aliyoificha kwenye bweni. Kila anayeuonja anakiri kwamba ni mvinyo mzuri sana, na hata kuhusudu hall ya baadaye ya Kasali katika biashara ya mvinyo. Hata hivyo, majaribio anayoifanyia fomyula ya mvinyo huo inabadilisha pakubwa historia ya Taasisi ya Mukibi.
Add to wishlist
Add to basket
Quick view

Moses and Kidnappers

Secondary (8-4-4)
KShs460.00

The day King Kong and I were kidnapped started off like any other Saturday."

So writes Moses, Uganda's most notorious schoolboy, at the start of his yet another wild adventure.

The deputy headmaster, Mr Karanja, has decided that the two friends must have their hair cut. They spend a pleasant morning in town, enjoying the freedom from Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen - until a sleek Mercedes Benz appears and their 'holiday' comes to an abrupt end. Their hairstyle thrusts them deep into the criminal underworld and they only escape being sold into slavery by the skin of their teeth.

This is the fourth of Moses' witty chronicles of life in Uganda's most awful school.

Add to wishlist
Add to basket
Quick view

Biology Today Pupil’s Book 1

Secondary (8-4-4)
KShs650.00
Biology Today is a new series in Biology specially designed to fully meet the objectives of the Biology Syllabus for secondary schools. The series has been developed by a team of teachers with vast experience in teaching and examining biology.
Add to wishlist
Add to basket
Quick view

Moses the Camper

Secondary (8-4-4)
KShs460.00
Moses and his friend, King Kong, set a dorm in their school, Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen, on fire - accidentally of course. Thus it is that the Dorm 3 inmates find themselves camping out in tents by the river and up to their necks in trouble. n nIt is while they are trying to push a tent pole into the stony ground that King Kong digs up a bag containing gold watches, bracelets, necklaces, rings, and six cameras in smart brown leather cases! n nNeedless to say, the boys are unable to keep their great discovery to themselves and, before long, they are involved with thieves and with the police as King Kong disappears. n n'Moses the Camper' is the ninth title in the adventures of Barbara Kimenye's mischievous Ugandan schoolboy.
Add to wishlist
Add to basket
Quick view

Musa Kwenye Harakati

Secondary (8-4-4)
KShs460.00
Wanafunzi katika Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen wanaenda nyumbani kwa likizo fupi. Hata hivyo. Musa na King Kong wana mpango tofauti. Wanaamua kuitumia fursa hiyo kujifurahisha mjini Tororo. n nWakiwa mjini Tororo, wanakutana na Finito anayewashawishi washiriki katika 'hafla' yake ya uponyaji (kwa malipo) na wanakubali. Musa anapanda jukwaani. Anapogeuka kuutazama umati uliojaa fujo, anakabiliana ana kwa ana na naibu wa mwalimu mkuu. Bw Karanja. Baada ya kufaulu kutoroka, na hata kuwakwepa polisi, wanaapa kufanya juu chini ili kuvuka mpaka. Je, hatima yao itakuwaje?
Add to wishlist
Add to basket
Quick view

Musa kwenye Sokomoko

Secondary (8-4-4)
KShs460.00
"Kumleta mwanafunzi wa kike mahali kama hapa huenda kukawa balaa kubwa!" Anasema Bw Karanja, naibu wa mwalimu mkuu katika Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen. Bw. Mukibi, hata hivyo anaiona hiyo kuwa hatua nzuri sawa na wavulana wa shule hiyo pindi wanapopata habari hizo za kusisimua. n nJuli Sekabanja anaamua kwamba Musa na King Kong ndio wahusika hasa anaowahitaji ili kumsaidia kunasa genge la majasusi. n n'Musa kwenye Sokomoko' ni hadithi ya tano katika msururu wa Visa na Vituko vya Musa, vilivyoandikwa na Barbara Kimenye.
Add to wishlist
Add to basket
Quick view

Moses and the School Farm

Secondary (8-4-4)
KShs460.00
The idea of starting a school farm was not received with enthusiasm by the students at Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen. Weren't they there to study for their examinations? But before they know what's happening, everyone is busy clearing land, planting, and weeding. What if they end up with blisters on their hands and aching muscles? What if the agricultural tools are as ancient as the hills? n nSoon Moses and his friends are in trouble once more. The pigs have escaped, six chickens have been stolen, a fox is on the loose, and the headmaster is determined to find the culprits. n n'Moses and the School Farm' is the eleventh title in the adventures of Barbara Kimenye's mischievous Ugandan schoolboy.
Add to wishlist
Add to basket
Quick view

Musa na Watekanyara

Secondary (8-4-4)
KShs460.00
Siku ambayo mimi na King Kong tulitekwa nyara ilianza kama Jumamosi nyingine yoyote ile... Anasimulia, Musa, mwanafunzi mtundu zaidi ya wote nchini Uganda, mwanzoni mwa kisa chake cha nne. Naibu wa mwalimu mkuu, Bw Karanja, anaamua kuwa ni lazima marafiki hao, Musa na King Kong, wanyolewe. Wanapofika mjini asubuhi, wanafurahia uhuru wa kutokuwa shuleni - hadi gari aina ya Mercedes Benz linapotokea na kukatiza ghafla raha yao. n n'Musa na Watekanyara' ni kitabu cha nne katika msururu wa Visa na Vituko vya Musa.
Add to wishlist
Add to basket
Quick view

Mathematics Today Pupil’s Book 1

Secondary (8-4-4)
KShs775.00
'Mathematics Today' is a new series specially designed to improve the learning and teaching of mathematics in secondary schools. n nThe books in the series: n
    n
  • Have been written in a simple language that is easy to understand.
  • n
  • Contain numerous step-by-step examples that make it ideal for self-instruction.
  • n
  • Use relevant and contemporary examples to help students relate mathematical concepts to their day-to-day experiences.
  • n
  • Contain anecdotes that make the study of mathematics fun-filled and enlightening.
  • n
  • Include revision checklists to guide the students through the key concepts in each topic.
  • n
nThe series has been developed by a team of teachers with vast experience in teaching and examining Mathematics. n nAn Answer Book for each level is also available. n
    n
  • Mathematics Today Form 1 Teacher's Book
  • n
  • Mathematics Today Form 2 Teacher's Book
  • n
  • Mathematics Today Form 3 Teacher's Book
  • n
  • Mathematics Today Form 4 Teacher's Book
  • n
Add to wishlist
Add to basket
Quick view

Moses in Trouble

Secondary (8-4-4)
KShs460.00

It's nothing new for Moses to be in trouble. This time it all begins when he and his friends at Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen stage a lighthearted protest about the school food.

Add to wishlist
Add to basket
Quick view

Alive: A Christian Religious Education Course STD Bk 1

Secondary (8-4-4)
KShs610.00

ALIVE: A New Christian Religious Education Course is a new series that comprehensively addresses the objectives and requirements of the Christian Religious Education (CRE) Syllabus for secondary schools.

n

Developed by a team of subject experts and experienced teachers, this innovative series combines knowledge acquisition with fun elements and real-life occurrences to deliver an exciting top-notch learning experience.

n

This series aims at moulding learners into role models in society by instilling positive behavioural change. It also helps them to develop a good attitude and life skills that will enable them to effectively deal with emerging issues.

n

The Student's Book for Form 1 is skilfully written to enhance the learners' understanding of the main concepts of the CRE course. It also guides the learners on how to incorporate the concepts and lessons learnt in their daily lives. This coursebook is furnished with numerous illustrations, various assessment exercises, case studies and a glossary of new terms.
This coursebook also provides a modular activity that not only focuses on the overall theme of the course, but also on student leadership, an aspect that is of great importance to students. The activity presents modules that are easy to adopt and apply in the school set-up.

Add to wishlist
Add to basket
Quick view

Glass Houses

Secondary (8-4-4)
KShs400.00
Kito Makato, now the undisputed head of his family, is in for a rude awakening. Things are fast getting out of hand on the home front as his wife of twelve years, Kawira, discovers that ‘there is no peace without truth’ and, under pressure from an old friend, decides to lay bare her controversial past. Arguing that ‘God made woman to keep recreating her man over and over again’ and that ‘No man is a hero to his wife; even if she is a bushwoman,’ Kawira, a woman on several missions, uses silence; persuasion, threats, wit, sarcasm and whatever other ammunition she can think of to puncture all the bubbles thrown in her way. So, is anyone out there bold enough to throw stones into her territory ‘when we all live in glasshouses’?
Add to wishlist
Add to basket
Quick view

Test It & Fix It Biology Practicals

Secondary (8-4-4)
KShs685.00
'Test it and Fix it Practicals' is a new series aimed at tackling challenges experienced by candidates in the practical exams in KCSE. KNEC exam reports over the years have consistently attributed poor performance in Sciences to a lack of examination skills when answering practical question papers in the three science areas i.e. Biology, Chemistry and Physics. The series aims at providing hands-on solutions to handling the practical questions in the KCSE exams. n nThe Text it and Fix it KCSE Practical Revision Biology has: n
    n
  • Elaborate topical questions covering all practical areas in biology exams for practice.
  • n
  • Sample KCSE examination papers with marking schemes to show candidates how marks are awarded in various types of questions.
  • n
  • Exam Tips and hints on common mistakes to avoid when answering practical examination questions.
  • n
  • A prediction platform offering learners an opportunity to examine trends in biology practical exam setting.
  • n
  • An analysis of problem areas in Biology practical exams in the last 10 years.
  • n
nThe books are well-researched, and questions are carefully selected to enable the learner to effectively practise answering practical examination questions.
Add to wishlist
Add to basket
Quick view

Certificate Secondary Geography Pupil’s Book 1

Secondary (8-4-4)
KShs750.00
The 'Certificate Geography' series takes the learner on an exciting journey through the captivating world of geography. The series is written by a team of subject experts and comprehensively covers the Geography syllabus for secondary schools. n nIn this revised Student's Book for Form 1: n
    n
  • Complex concepts are simplified.
  • n
  • Current statistics and up-to-date examples are incorporated.
  • n
  • Understanding is enhanced through numerous relevant illustrations and attractive photographs.
  • n
  • Learning is made interactive through activities and discussion points integrated within the topics.
  • n
  • Geographical vocabulary is highlighted and explained through the Geographical terms section in every topic.
  • n
  • Sample examination papers at the end of each topic to help the learner prepare for examinations.
  • n
  • An insightful and colourful Resource section at the end of the book further enhances the learning process through sharp images.
  • n
nOther books in the series: n
    n
  • Certificate Geography Form 2
  • n
  • Certificate Geography Form 3
  • n
  • Certificate Geography Form 4
  • n
nA Teacher's Guide is also available for each level.
Add to wishlist
Add to basket
Quick view
Sold out

Moses and the Ghost

Secondary (8-4-4)
KShs460.00

Is there really a ghost haunting Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen? Moses, his friend King Kong, and the rest of the gang in Dormitory 3 don't believe in ghosts. That is, they are pretty sure they don't. But then who, or what, is the weird white figure flitting about the school compound at night? Where did the mysterious bloodstains come from? And who was responsible for the sinister laughter outside Miss Namukasa's door?

The deputy headmaster, Mr Karanja, believes he has the answer to all these questions: it's Dorm 3 trying to be funny. So HM and KK, together with Rukia, Itchy Fingers and the rest, set out to grab the ghost before it gets them all expelled.

This is the sixth of Moses' witty chronicles of life in Uganda's most awful school.

Add to wishlist
Read more
Quick view

Kiswahili Fasaha Kidato cha 1 Kitabu cha Mwanafunzi

Secondary (8-4-4)
KShs700.00
Toleo jipya la 'Kiswahili Fasaha' Kidato cha 1 limeboreshwa ili kukidhi mahitaji ya mwanafunzi kuambatana na silabasi. Maelezo ya mada zote za lugha yametolewa kwa lugha rahisi ambayo mwanafunzi anaweza kuelewa hata anaposoma mwenyewe. n nKatika kitabu hiki utapata: n
    n
  • Mada zote zilizoorodheshwa kwenye silabasi Kidato cha 1.
  • n
  • Mpangilio bora wa mada na ulio rahisi kufuatilia ya mada za isimujamii, sarufi, ufahamu na ufupisho, fasihi, insha mbalimbali na kusoma kwa kina na kwa mapana masuala ibuka mbalimbali.
  • n
  • Mazoezi katika kila mada.
  • n
  • Maswali ya marudio.
  • n
Add to wishlist
Add to basket
Quick view
delivery

QUICK DELIVERY

Swift dispatch

ONLINE PAYMENT

Multiple options

EXPERT SUPPORT

Help when you need it

WIDE VARIETY

Thousands of books

GLOBAL SHIPPING

Worldwide delivery

  • TALK TO US
    • 0794 233261 / 0724 670194
    • nuriakenyabookstore@gmail.com
    • The Bazaar Building, 1st Floor
  • About Nuria
    • Our Story
    • Blog
    • Contact Us
  • VENDORS
    • Sell on Nuria
    • Vendor Login
    • Privacy Policy
  • USEFUL LINKS
    • Delivery Policy
    • Returns
    • Gift Card Balance
digitals-app-store-button
google-play-button

We Accept

2023 NURIA KENYA All rights reserved
  • Menu
  • Categories
  • Kenya Books
  • Rare Books
  • International Bestsellers
  • Self Help & Motivation
  • Fiction
  • Autobiography
  • Business
  • Children’s Books
  • Kids & Teens
  • African Interest
  • Educational Books
  • Romances & Thrillers
  • Home
  • Shop
  • Gift Card
  • About Us
  • Nuria App
  • Contact Us
  • Wishlist
  • Login / Register
Shopping cart
Close
Sign in
Close

Lost your password?

No account yet?

Create an Account
Shop
Sidebar
0 Wishlist
6 items Cart
My account