ENJOY FREE DELIVERY WITHIN NAIROBI FOR ORDERS ABOVE 10,000
Nuria App
Kenyan Shilling (KSh)
  • Kenyan Shilling (KSh)
  • United States (US) dollar ($)
  • Pound sterling (£)
  • Ugandan Shilling (UGX)
0 Wishlist
Login / Register
  • Home
  • Shop
  • Kenyan Books
  • Rare Books
  • Gift Card
  • Blog
  • Contact Us
  • SELL ON NURIA
  • VENDOR LOGIN
Menu
0 items KShs0.00
Browse Categories
  • Kenya Books
  • Rare Books
  • International Bestsellers
  • Self Help & Motivation
  • Fiction
  • Autobiography
  • Business
  • Children’s Books
  • Kids & Teens
  • African Interest
  • Educational Books
  • Romances & Thrillers
HELP / SUPPORT

0794 233 261

0 items KShs0.00
-10%
Click to enlarge
Home Books Kiswahili Readers Riwaya(Novels) Adhabu Ya Maisha By Elishaphan Wachira
Kengeza La Jasiri By Shisia Wasilwa KShs749.00 KShs699.00
Back to products
Pandashuka By Timothy O. Sumba KShs649.00 KShs600.00

Adhabu Ya Maisha By Elishaphan Wachira

KShs500.00 KShs449.00

Nuria Ranking: #6 in Riwaya(Novels)

In stock

Purchase this product now and earn 1 Point!

Mwaisambe alipata taarifa kwamba katika jimbo lao la Matusitusi kulikuwako na mganga mashuhuri. Mganga huyo aliwatibu watu kwa dawa za kienyeji alizokuwa nazo daima. Basi baada ya kusikia habari kumhusu mganga huyo, Mwaisambe aliamua kwenda kumtembelea.

Ndugu Mwaisambe anaonekana kuishi maisha ya kubahatisha. Ni mfano wa vijana wanaoonekana kukosa ruwaza, wanabebwa hobelahobela na upepo wa nakama na kuwaangamiza. Mwaisambe yu safarini kumtafuta mganga mashuhuri asiyemjua asili wala fasili yake. Anapanda milima na kuivuka miamba hadi katika eneo la Kivunja Kimya. Atafaulu kumpata mganga wake? Jisomee upate kujua…
*
Bwana Elishaphan Wachira ni miongoni mwa waandishi wanaochipuka kwa kasi sana. Anajikusuru daima kuandika kwa lugha ya Kiswahili na kukiendeleza. Kwa sasa ni mwalimu wa Kiswahili katika shule ya upili ya Wasichana ya Rarakwa katika Gatuzi la Murang’a. Anajaribu kwa udi na uvumba kukiendeleza Kiswahili kupitia kazi bunilizi. Kwa sasa anamiliki shahada ya ualimu kutoka Chuo Kikuu cha Kenyatta.

Add KShs10,000.00 worth of products to your cart for free delivery within Nairobi!
Add to wishlist
Category: Riwaya(Novels) Tags: Africa, African Authors, Kenya, Kenya Fiction, Kenyan Authors, Kenyan Books
Share:
Close
  • Description
  • Shipping
  • Reviews (0)
  • Vendor Info
  • More Products
Description

Mwaisambe alipata taarifa kwamba katika jimbo lao la Matusitusi kulikuwako na mganga mashuhuri. Mganga huyo aliwatibu watu kwa dawa za kienyeji alizokuwa nazo daima. Basi baada ya kusikia habari kumhusu mganga huyo, Mwaisambe aliamua kwenda kumtembelea.

Ndugu Mwaisambe anaonekana kuishi maisha ya kubahatisha. Ni mfano wa vijana wanaoonekana kukosa ruwaza, wanabebwa hobelahobela na upepo wa nakama na kuwaangamiza. Mwaisambe yu safarini kumtafuta mganga mashuhuri asiyemjua asili wala fasili yake. Anapanda milima na kuivuka miamba hadi katika eneo la Kivunja Kimya. Atafaulu kumpata mganga wake? Jisomee upate kujua…
*
Bwana Elishaphan Wachira ni miongoni mwa waandishi wanaochipuka kwa kasi sana. Anajikusuru daima kuandika kwa lugha ya Kiswahili na kukiendeleza. Kwa sasa ni mwalimu wa Kiswahili katika shule ya upili ya Wasichana ya Rarakwa katika Gatuzi la Murang’a. Anajaribu kwa udi na uvumba kukiendeleza Kiswahili kupitia kazi bunilizi. Kwa sasa anamiliki shahada ya ualimu kutoka Chuo Kikuu cha Kenyatta.

Shipping
Reviews (0)
Rated 0 out of 5
0 reviews
Rated 5 out of 5
0
Rated 4 out of 5
0
Rated 3 out of 5
0
Rated 2 out of 5
0
Rated 1 out of 5
0

Reviews

Clear filters

There are no reviews yet.

Be the first to review “Adhabu Ya Maisha By Elishaphan Wachira” Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


Vendor Info

Vendor Information

  • Store Name: African Ink Publishers
  • Vendor: Kelvin Omondi
  • No ratings found yet!
More Products
-18%

Nizike Sijafa na Darius Makhoka

Riwaya(Novels)
Rated 5.00 out of 5
KShs549.00 KShs449.00
Hadithi hii ya Nizike Sijafa ina mnato na mvuto wa aina yake, imekolezwa uhalisia wa maisha katika siku hizi na dunia ya sasa. Mwandishi anasimulia jinsi mwanadamu anavyothamini mfu na kuyapa hadhi kubwa maziko kinyume na anavyomtunza na kumthamini mwenzake awapo hai. Je, Salama Makori atafaulu katika azimio lake la kuihamasisha jamii kuikumbatia methali isemayo udugu ni kufaana wala si kufanana? Je, Salama atapata afueni na kuishi maisha yenye furaha, licha ya umasikini wa sina sinani unaomwandama na kutishia kulizamisha dau la matumaini yake kila uchao? Soma ufaidi! * Mwandishi wa kazi hii ni Darius Makokha. Darius Makokha ni mwandishi ambaye ameibuka kuwa stadi mno katika sanaa ya utunzi wa hadithi za Kiswahili. Halima Apaa Angani na Nizike Sijafa ni mojawapo ya kazi ambazo amezikamilisha. Kwa sasa ni mwalimu wa somo la Kiswahili katika shule tajika ya Mekaela Likunda, mojawapo ya shule za Mekaela Academies – Kwale.
Add to wishlist
Add to basket
Quick view
-9%

Mosi na Pili byTimothy Sumba

Kids & Teens
KShs330.00 KShs299.00
Mosi na Pili ni kitabu cha wanafunzi wa gredi za chini katika shule ya msingi. Kazi bunilizi hii inazingatia mahitaji yote ya mfumo mpya wa elimu (mtalaa wa umilisi) kama vile ujenzi wa masuala mtambuko. Utajiri mkubwa wa yaliyomo ni burudani katika lugha sanifu na msamiati teule ambao umeshiba mafunzo kemkemu ya maadili. Visa sisimuzi vimesukwa ili kumpa mtoto ilhamu ya kutaka kujua zaidi na kumjengea uraibu wa kusoma kwa ufasaha. Mosi na Pili wanawakilisha siku za wiki. Je, ni siku zipi? Je, unaweza kueleza shughuli zinazofanyika katika siku mbalimbalj za wiki? Mwandishi wa kitabu hiki, Timothy Omusikoyo Sumba ni mtaalamu wa saikolojia na fasihi ya watoto. Ameandika vitabu chungu nzima ambavyo vimeidhinishwa na Taasisi ya Kukuza Mitaala ya Kenya (KICD) pamwe na Research Triangle International (RTI).
Add to wishlist
Add to basket
Quick view
-13%

Ndoa Ya Patashika Na David Ochola

Books
KShs750.00 KShs650.00
Ni mzazi kindakindaki. Ameniondolea janaa ya kuitwa mwana msi baba. Sasa nayafurahia mazingira matulivu. Yote ni kwa neema. Ile ndoa ya patashika baina ya Patashika na mama ikanitoka kabisa. Nikawa nimepoa na kutulia katika… Ndoa ya Patashika ni riwaya inayoangazia masuala tata yanayojitokeza katika ndoa. Aghalabu, kila ndoa huwa na changamoto zayo na ndiye maana mwandishi ameyaweka tashtiti mambo yanayowaudhi wahusika katika ndoa zenye hali hizo.
Add to wishlist
Add to basket
Quick view
-9%

Tuzo za Usafi by Timothy Sumba

Kids & Teens
KShs330.00 KShs299.00
Tuzo za Usafi ni kitabu cha wanafunzi wa gredi za chini katika shule ya msingi. Kazi bunilizi hii inazingatia mahitaji yote ya mfumo mpya wa elimu (mtalaa wa umilisi) kama vile ujenzi wa masuala mtambuko. Utajiri mkubwa wa yaliyomo ni burudani katika lugha sanifu na msamiati teule ambao umeshiba mafunzo kemkemu ya maadili. Visa sisimuzi vimesukwa ili kumpa mtoto ilhamu ya kutaka kujua zaidi na kumjengea uraibu wa kusoma kwa ufasaha. Usafi wa mwili ni mazoea mazuri. Umuhimu wa usafi ni upi? Utaratibu wa usafi wa mwili ni upi? Vifaa gani hutumika kuusafisha mwili? Mwandishi wa kitabu hiki, Timothy Omusikoyo Sumba ni mtaalamu wa saikolojia na fasihi ya watoto. Ameandika vitabu chungu nzima ambavyo vimeidhinishwa na Taasisi ya Kukuza Mitaala ya Kenya (KICD) pamwe na Research Triangle International (RTI).
Add to wishlist
Add to basket
Quick view
-7%

Kengeza La Jasiri By Shisia Wasilwa

Riwaya(Novels)
KShs749.00 KShs699.00
Jasiri ana Kengeza. Kengeza hilo halimpi amani. Linamsumbua maishani. Hilo kengeza linayaunganisha maisha yake ya zamani na usasa. Kalipata ujanani. Amekataa kulizika katika kaburi la sahau. Je, Jasiri atapata tiba ya kengeza hilo analopenda, kulificha pembeni mwa kijoyo chake? Anagundua pia marehemu babake kaaga dunia kutokana na hilo kengeza. Je, haya makengeza ndiyo nini? Ni masimulizi yanayonata, yaliyosheheni taharuki na maudhui mazito. Kuhusu mwandishi Shisia Wasilwa ni mwandishi na mwanahabari stadi wa siku nyingi. Aliwahi kuhudumu na Shirika la Habari nchini Kenya-KBC, China Radio Kimataifa, Citizen Tv na Radio, BBC na Deutsche Welle-DW. Baadhi ya kazi zake ni pamoja Makovu ya Uhai na Dunia Tambara Bovu. Alihariri Ndoto ya Almasi chake Ken Walibora, mwongozo wa Utengano wa Said. A. Mohammed miongoni mwa kazi nyingine teule. Kwa sasa anazamia shahada ya uzamili katika masuala ya mawasiliano katika chuo Kikuu cha Aga Khan.
Add to wishlist
Add to basket
Quick view
-19%

A FLAME OF PASSION AND OTHER POEMS by Titus Mūrīīthi wa Mūturi

Poetry Book
Rated 4.50 out of 5
KShs800.00 KShs650.00
A Flame Of Passion and Other Poems’ have a thrilling conversation with each other on various contemporary issues of life and nature, which evokes different emotional dispositions while immersing the reader in a thrilling literally voyage of how human emancipatory spirit stubbornness lucidly emerges in every other time humane aspects are threatened in various ways: Human will to fight and protect humane psyche from adversaries whether surreal or real while appreciating the beauty of life and nature. The common thread running through the poems is passion: stoking the flame of struggle, awe and thrill of every situation of experience and nature humans find themselves in. About the author Titus Mūrīīthi wa Mūturi is successfully an alumnus of Ndaguma Primary School, in Mbeere South, Embu. St.Thomas Moore Nguviu Boys' High School, Embu and Kenyatta University with a Bachelor of Education (Arts) (Hons.), he also enrolled in Masters of Arts (Population Geography) course at the same university. He has taught geography and CRE at various secondary schools such as St. Christopher Nembure Secondary School, Itabua Day Secondary School; both in Embu County and currently teaching and doubles up as the Director of Studies(Dean) at Kiandai Mixed Day Secondary School in Kirinyaga East Sub-county, Kirinyaga County. He is also the Coordinator of Kirinyaga East Central Zone Strategic Alliance panel of geography examiners.
Add to wishlist
Add to basket
Quick view

Related products

-5%Sold out

Memories we lost and other stories by Pauline Kea

Books, African Interest
KShs499.00 KShs475.00
This anthology brings together a variety of short stories from Africa and parts of the world. A rigorous and informed selection has ensured that it combines the confidence of The classic's with the freshness that contemporary writers bring to their craft. This collection is a grain-store of memories that seek to entertain, provoke, empower and educate. The themes are s wide ranging as the authors' backgrounds but they share a common belief — enhancing values and integrity in today's society in an effort to preserve human and social dignity.' The short story is probably the world's secret weapon in the way that the oral culture is interwoven into the written text, to be enjoyed for education as well as a good read.  
Add to wishlist
Read more
Quick view
-19%Sold out

The River and the Source by Margaret Ogola

Books, Fiction and Non Fiction
Rated 5.00 out of 5
KShs800.00 KShs650.00
In 1995, this novel won both the Jomo Kenyatta Literature Prize, and the Commonwealth Writers Prize Best First Book in the Africa Region. Now reprinted, it remains in great demand. An epic story spanning cultures, it tells the lives of three generations of women. It traces the story of Akoko in her rich traditional Luo setting, through to the children who live and die in the 20th century.  
Add to wishlist
Read more
Quick view
-45%

The Delegate by Edward Mwangi

Books, Fiction and Non Fiction
Rated 3.00 out of 5
KShs900.00 KShs499.00
Brief Summary The future of Chebet, a teenage girl, and her siblings is at a crossroads. Should she heed her uncle’s advice and submit to the demands of her culture? Should she get herself a job, or should she just let fate take its course? Chebet has to make a choice amid trials, tribulations, and social stigma. Perhaps it is Chebet’s endurance, resilience and hard work that will finally shape her life.
Add to wishlist
Add to basket
Quick view
-15%Sold out

Americanah by Chimamanda Ngozi Adichie

Books, African Interest
KShs1,990.00 KShs1,690.00
From the award-winning author of Half of a Yellow Sun, a dazzling new novel: a story of love and race centered around a young man and woman from Nigeria who face difficult choices and challenges in the countries they come to call home.As teenagers in a Lagos secondary school, Ifemelu and Obinze fall in love. Their Nigeria is under military dictatorship, and people are leaving the country if they can. Ifemelu—beautiful, self-assured—departs for America to study. She suffers defeats and triumphs, finds and loses relationships and friendships, all the while feeling the weight of something she never thought of back home: race. Obinze—the quiet, thoughtful son of a professor—had hoped to join her, but post-9/11 America will not let him in, and he plunges into a dangerous, undocumented life in London.Years later, Obinze is a wealthy man in a newly democratic Nigeria, while Ifemelu has achieved success as a writer of an eye-opening blog about race in America. But when Ifemelu returns to Nigeria, and she and Obinze reignite their shared passion—for their homeland and for each other—they will face the toughest decisions of their lives.Fearless, gripping, at once darkly funny and tender, spanning three continents and numerous lives, Americanah is a richly told story set in today’s globalized world: Chimamanda Ngozi Adichie’s most powerful and astonishing novel yet.
Add to wishlist
Read more
Quick view
-37%

The Ogre An Anthology of Short Stories by Samwel Odhiambo Ochandah

Books, Fiction and Non Fiction, Kenya Fiction
KShs1,500.00 KShs950.00
Brief Summary From deception in leadership and relationships to the space of traditional cultural practices in independent Africa, the Ogre is a collection of short stories inspired by experiences in a modern Africa struggling to hold on to the age-old culture and traditions amidst the disruptions of modernity. It chronicles the everyday challenges, conflicts, aspirations, happiness and failures in a quintessentially 21st-century African society.
Add to wishlist
Add to basket
Quick view
-14%

The Double Cross by Mwangi Gicheru

Books, African Interest
KShs800.00 KShs690.00
The double-cross Book by Mwangi Gicheru. Kenyan author Mwangi Gicheru famous for penning some of the most well-known fiction titles in Kenya
Add to wishlist
Add to basket
Quick view
-16%

Dust by Yvonne Adhiambo Owuor

Books, African Interest
Rated 4.00 out of 5
KShs2,500.00 KShs2,090.00
From a breathtaking new voice, a novel about a splintered family in Kenya—a story of power and deceit, unrequited love, survival and sacrifice. Odidi Oganda, running for his life, is gunned down in the streets of Nairobi. His grief-stricken sister, Ajany, just returned from Brazil, and their father bring his body back to their crumbling home in the Kenyan dry lands, seeking some comfort and peace. But the murder has stirred memories long left untouched and unleashed a series of unexpected events: Odidi and Ajany’s mercurial mother flees in a fit of rage; a young Englishman arrives at the Ogandas’ house, seeking his missing father; a hardened policeman who has borne witness to unspeakable acts reopens a cold case; and an all-seeing Trader with a murky identity plots an overdue revenge. In scenes stretching from the violent upheaval of contemporary Kenya back through a shocking political assassination in 1969 and the Mau Mau uprisings against British colonial rule in the 1950s, we come to learn the secrets held by this parched landscape, buried deep within the shared past of the family and of a conflicted nation. Here is a spellbinding novel about a brother and sister who have lost their way; about how myths come to pass, history is written, and war stains us forever.
Add to wishlist
Add to basket
Quick view
-6%

The Dragonfly Sea by Yvonne Adhiambo Owuor

Books, African Interest
KShs3,190.00 KShs2,990.00
Brief Summary From the award-winning author of Dust comes a vibrant, stunning coming-of-age novel about a young woman struggling to find her place in a vast world--a poignant exploration of fate, mortality, love, and loss. On the island of Pate, off the coast of Kenya, lives solitary, stubborn Ayaana and her mother, Munira. When a sailor named Muhidin, also an outsider, enters their lives, Ayaana finds something she has never had before: a father. But as Ayaana grows into adulthood, forces of nature and history begin to reshape her life and the island itself--from a taciturn visitor with a murky past to a sanctuary-seeking religious extremist, from dragonflies to a tsunami, from black-clad kidnappers to cultural emissaries from China. Ayaana ends up embarking on a dramatic ship's journey to the Far East, where she will discover friends and enemies; be seduced by the charming but unreliable scion of a powerful Turkish business family; reclaim her devotion to the sea; and come to find her own tenuous place amid a landscape of beauty and violence and surprising joy. Told with a glorious lyricism and an unerring sense of compassion, The Dragonfly Sea is a transcendent story of adventure, fraught choices, and of the inexorable need for shelter in a dangerous world.  
Add to wishlist
Add to basket
Quick view
-20%

One Life too Many by Yusuf Dawood

Books, African Interest
KShs990.00 KShs790.00
Brief Summary Sydney Walker, young and carefree, came to Kenya in search of adventure, fell in love with the country and decided to make it his home. This is the story of the joys and sorrows of a man who worked hard and loved even harder. A magnificent account of expatriate life, set in the awe- inspiring beauty of Kenya, it confirms Yusuf K. Dawood as one of the greatest storytellers of our time.
Add to wishlist
Add to basket
Quick view
-14%

Digital Democracy Analogue Politics How the Internet Is Transforming Politics in Africa by Nanjala Nyabola

Books, African Interest
KShs3,500.00 KShs3,000.00
From the upheavals of recent national elections to the success of the #MyDressMyChoice feminist movement, digital platforms have already had a dramatic impact on political life in Kenya – one of the most electronically advanced countries in Africa. While the impact of the Digital Age on Western politics has been extensively debated, there is still little appreciation of how it has been felt in developing countries such as Kenya, where Twitter, Facebook, WhatsApp and other online platforms are increasingly a part of everyday life. Written by a respected Kenyan activist and researcher at the forefront of political online struggles, this book presents a unique contribution to the debate on digital democracy. For traditionally marginalised groups, particularly women and people with disabilities, digital spaces have allowed Kenyans to build new communities which transcend old ethnic and gender divisions. But the picture is far from wholly positive. Digital Democracy, Analogue Politics explores the drastic efforts being made by elites to contain online activism, as well as how ‘fake news’, a failed digital vote-counting system and the incumbent president's recruitment of Cambridge Analytica contributed to tensions around the 2017 elections. Reframing digital democracy from the African perspective, Nyabola’s ground-breaking work opens up new ways of understanding our current global online era.  
Add to wishlist
Add to basket
Quick view
-5%

Dance of the Jakaranda by Peter Kimani

Books, African Interest
KShs1,999.00 KShs1,899.00
Set in the shadow of Kenya's independence from Great Britain, Dance of the Jakaranda reimagines the special circumstances that brought black, brown and white men together to lay the railroad that heralded the birth of the nation. The novel traces the lives and loves of three men--preacher Richard Turnbull, the colonial administrator Ian McDonald, and Indian technician Babu Salim--whose lives intersect when they are implicated in the controversial birth of a child. Years later, when Babu's grandson Rajan--who ekes out a living by singing Babu's epic tales of the railway's construction--accidentally kisses a mysterious stranger in a dark nightclub, the encounter provides the spark to illuminate the three men's shared, murky past. With its riveting multiracial, multicultural cast and diverse literary allusions, Dance of the Jakaranda could well be a story of globalization. Yet the novel is firmly anchored in the African oral storytelling tradition, its language a dreamy, exalted, and earthy mix that creates new thresholds of identity, providing a fresh metaphor for race in contemporary Africa.
Add to wishlist
Add to basket
Quick view
-11%

Behind the Mask by Yusuf Dawood

Books
KShs1,000.00 KShs890.00
Behind the mask by Yusuf K. Dawood
Add to wishlist
Add to basket
Quick view

An Artist of the Floating World by Kazuo Ishiguro

Books, Fiction and Non Fiction
KShs690.00
In the face of the misery in his homeland, the artist Masuji Ono was unwilling to devote his art solely to the celebration of physical beauty. Instead, he put his work in the service of the imperialist movement that led Japan into World War II. Now, as the mature Ono struggles through the aftermath of that war, his memories of his youth and of the "floating world”—the nocturnal world of pleasure, entertainment, and drink—offer him both escape and redemption, even as they punish him for betraying his early promise. Indicted by society for its defeat and reviled for his past aesthetics, he relives the passage through his personal history that makes him both a hero and a coward but, above all, a human being.  
Add to wishlist
Add to basket
Quick view
-14%

Of pawns and players by Kinyanjui Kombani

Books, African Interest
KShs800.00 KShs690.00
Kinyanjui Kombani’s newest novel Of Pawns and Players is now available for pre-order. This is the third novel from the Nairobi, Kenya based author popularly known as the "banker who writes”. Kinyanjui Kombani is a Kenyan novelist, playwright, scriptwriter, and literature activist. He burst onto the scene in 2004 with his debut novel The Last Villains of Molo one of the few pieces of art that have been produced about Kenya’s first post-election crisis in 1991. We loved it. He followed in 2013 with Den of Inequities a book that follows a killer gang in Nairobi that we also loved. Apart from fiction for adults, he wrote two books for children in 2007 Wangari Maathai: Mother of Trees a biography of Kenya’s Nobel Peace Prize laureate Wangari Maathai and We Can Be Friends: Theme, Spread of HIV/AIDS. He also wrote a Young Adult book called Finding Columbia which won the Burt Award for Young Adult Literature in Accra, Ghana last year. The author’s new novel Of Pawns and Players tackles the underground world of betting in the simple and humorous narrative style that has made him a household name in contemporary fiction.  
Add to wishlist
Add to basket
Quick view
-12%

Dance of the Monkeys by Ciku Kimeria

Books, Kenya Fiction
KShs1,800.00 KShs1,590.00
From the author of the well-acclaimed, unputdownable, Of Goats and Poisoned Oranges, comes this gripping mystery novel that will have you on the edge of your seat! A fancy Nairobi engagement party turns deadly. What is to be a special night for Mwende and her fiancé, Oti, takes an unexpected twist. Private investigator, Wanjiru Mdaku, is in a race against time to find the culprit out to get Mwende, the daughter of the infamous local businessman, Al Capone wa County. In trying to solve this mystery, Wanjiru Mdaku finds herself navigating treacherous waters of the Lamu drug world, county mafia, political rivalries, a well-connected megachurch and countless love triangles. Can our heroine solve this mystery before the culprit gets Mwende?
Add to wishlist
Add to basket
Quick view
-15%

Wizard of the Crow by Ngugi wa Thiongo

Books, African Interest, Kenya Fiction
Rated 3.00 out of 5
KShs3,500.00 KShs2,990.00
Brief Summary From the exiled Kenyan novelist, playwright, poet, and literary critic--a magisterial comic novel that is certain to take its place as a landmark of postcolonial African literature. In exile now for more than twenty years, Ngugi wa Thiongo has become one of the most widely read African writers of our time, the power and scope of his work garnering him international attention and praise. His aim in Wizard of the Crow is, in his own words, nothing less than "to sum up Africa of the twentieth century in the context of two thousand years of world history.” Commencing in "our times” and set in the "Free Republic of Aburiria,” the novel dramatizes with corrosive humor and keenness of observation a battle for control of the souls of the Aburirian people. Among the contenders: His High Mighty Excellency; the eponymous Wizard, an avatar of folklore and wisdom; the corrupt Christian Ministry; and the nefarious Global Bank. Fashioning the stories of the powerful and the ordinary into a dazzling mosaic, Wizard of the Crow reveals humanity in all its endlessly surprising complexity. Informed by richly enigmatic traditional African storytelling, Wizard of the Crow is a masterpiece, the crowning achievement in Ngugl wa Thiongo’s career thus far.
Add to wishlist
Add to basket
Quick view
delivery

QUICK DELIVERY

Swift dispatch

ONLINE PAYMENT

Multiple options

EXPERT SUPPORT

Help when you need it

WIDE VARIETY

Thousands of books

GLOBAL SHIPPING

Worldwide delivery

  • TALK TO US
    • 0794 233261 / 0724 670194
    • nuriakenyabookstore@gmail.com
    • The Bazaar Building, 1st Floor
  • About Nuria
    • Our Story
    • Blog
    • Contact Us
  • VENDORS
    • Sell on Nuria
    • Vendor Login
    • Privacy Policy
  • USEFUL LINKS
    • Delivery Policy
    • Returns
    • Gift Card Balance
digitals-app-store-button
google-play-button

We Accept

2023 NURIA KENYA All rights reserved
  • Menu
  • Categories
  • Kenya Books
  • Rare Books
  • International Bestsellers
  • Self Help & Motivation
  • Fiction
  • Autobiography
  • Business
  • Children’s Books
  • Kids & Teens
  • African Interest
  • Educational Books
  • Romances & Thrillers
  • Home
  • Shop
  • Gift Card
  • About Us
  • Nuria App
  • Contact Us
  • Wishlist
  • Login / Register
Shopping cart
Close
Sign in
Close

Lost your password?

No account yet?

Create an Account
Shop
Sidebar
0 Wishlist
0 items Cart
My account