BENSON J. MUGO
BENSON J. MUGO

BENSON J. MUGO

  • No ratings found yet!
  • Store is closed

Mfalme Katili

KShs600.00
Mfalme Katili ni hadithi ya nguvu, usaliti, na ujasiri, ikichora mstari wa dhoruba ya hisia na mapambano ya ndani na ya nje—kitabu cha kutisha, kinachotia moyo, na kinachokumbusha kuwa haki haiwezi kuzimwa milele.

The Sadist Ruler by BENSON MUGO

KShs700.00
The Sadist Ruler is a fascinating story that examines and elaborates in detail the afflictions faced by the nation of Kafila, which is ruled by a leader obsessed with seizing all the country's wealth. It is a story filled with hostility and betrayal, with each person aiming only to serve their own interest.

Maisha ya Mwanaharamu by BENSON MUGO

KShs550.00
Maisha ya Mwanaharamu ni riwaya inayosimulia kisa cha kijana mmoja anayezaliwa nje ya ndoa. Hii ni kulingana na mtazamo wa wanakijiji cha Deka. Kijana huyu anachukuliwa kama mlaanifu na anachukiwa na takribani kila mja katika kijiji hiki. Madhila anayoyapitia yanasababisha afe moyo hivi kwamba anaamua kujitia kitanzi katika Msitu wa Aguzi lakini Ibra, Mungu wa Kijiji cha Deka, anayaokoa maisha yake.

NIZIKWE KWETU KIAMBONI by BENSON MUGO

KShs700.00

Nizikwe Kwetu Kiamboni ni riwaya inayochambua na kufafanua kwa undani madhila yanayoikumba nchi ya Kafila inayoongozwa na kiongozi aliye na uroho wa kutwaa mali yote ya nchi hiyo.

delivery

QUICK DELIVERY

Swift dispatch

ONLINE PAYMENT

Multiple options

EXPERT SUPPORT

Help when you need it

WIDE VARIETY

Thousands of books

GLOBAL SHIPPING

Worldwide delivery

Shopping cart
Sign in

No account yet?

Shop
0 Wishlist
0 items Cart
My account