Bajeti Binafsi
hiki ni kitabu ambacho kinatoa muongozo kuhusiana na utumiaji mzuri wa fedha kwajili ya kutimiza mahitaji yetu na kutimiza ndoto zetu kwa wakati tutakaojipangia kutokana na uwezo wetu.
kitabu hiki kitakufunza jinsi ya kuepuka madeni, kuondoa changamoto ya kodi pamoja na malipo ya watoto wetu na kutuongezea utulivu wa nafsi pamoja na kuongeza furaha na kujiamini kutokana na mpangilio wako wa maisha