QUICK DELIVERY
Swift dispatch
ONLINE PAYMENT
Multiple options
EXPERT SUPPORT
Help when you need it
WIDE VARIETY
Thousands of books
GLOBAL SHIPPING
Worldwide delivery
No account yet?
Create an Account
Vendor Biography
Fadhili Zebadia Bange ni mwandishi, mwalimu wa Neno la Mungu, na mshauri wa kiroho. Akiwa na asili ya Njombe, amehitimu kidato cha sita (HKL) na sasa ni mwanafunzi wa Shahada ya Kiswahili (UDOM). Amewahi kuwa Mwenyekiti wa UKWATA na ana uzoefu wa kufundisha semina na fellowship. Kupitia kitabu chake, analenga kusaidia Wakristo kumuishi Mungu na kupata matokeo yanyodhihirika katika uchumi, afya, na jamii.