Uhuru wa Mfungwa ni tamthilia inayochora uhalisia mwingi ambao jamii nyingi zinakabiliana nazo katika maisha ya sasa. Tamthilia hii imetungwa kwa ufundi mkubwa nayo inaburudisha katika kila kurasa. Kwa hakika, kila ukurasa ni ufundi mkubwa wa kisanaa.