ENJOY FREE DELIVERY WITHIN NAIROBI FOR ORDERS ABOVE 10,000
Nuria App
Kenyan Shilling (KSh)
  • Kenyan Shilling (KSh)
  • United States (US) dollar ($)
  • Pound sterling (£)
  • Ugandan Shilling (UGX)
0 Wishlist
Login / Register
  • Home
  • Shop
  • Kenyan Books
  • Rare Books
  • Gift Card
  • Blog
  • Contact Us
  • SELL ON NURIA
  • VENDOR LOGIN
Menu
0 items KShs0.00
Browse Categories
  • Kenya Books
  • Rare Books
  • International Bestsellers
  • Self Help & Motivation
  • Fiction
  • Autobiography
  • Business
  • Children’s Books
  • Kids & Teens
  • African Interest
  • Educational Books
  • Romances & Thrillers
HELP / SUPPORT

0794 233 261

0 items KShs0.00
-17%
Click to enlarge
Home Books CBC ECDE Vitabu Vya Ziada RAMANI YA KISWAHILI GREDI 10,11,12
THE INNER GARDEN : A SELF DISCOVERY JOURNAL KShs700.00 KShs500.00
Back to products
The Brand Brilliance Framework by Caroline Kendi KShs3,000.00 KShs2,490.00

RAMANI YA KISWAHILI GREDI 10,11,12

KShs1,800.00 KShs1,500.00

Nuria Ranking: #4 in Vitabu Vya Ziada

In stock

Purchase this product now and earn 3 Points!

Huu ni mwongozo madhubuti unaowaongoza wanafunzi wa Gredi ya 10,11,12 katika safari ya umahiri wa lugha chini ya mfumo wa CBE. Kitabu hiki kimeandikwa kwa umakini ili kusaidia wanafunzi kujenga stadi za mawasiliano ,kifikiri kwa kina na kujiamini katika matumizi ya lugha katika maisha halisi.

Add KShs10,000.00 worth of products to your cart for free delivery within Nairobi!
Add to wishlist
Category: Vitabu Vya Ziada Tags: Kiswahili, Kiswahili Books
Share:
Close
  • Description
  • Shipping
  • Reviews (0)
  • Vendor Info
  • More Products
Description

Ramani ya Kiswahili ni raslimali mahususi iliyoundwa kwa ajili ya wanafunzi wa Gredi 10,11,12 chini ya mtalaa wa CBE. Kitabu hiki kinaongoza mwanafunzi hatua kwa hatua katika nyanja muhimu za lugha, kama sarufi, uandishi, mawasiliano na ufahamu. Kwa  maelezo wazi, mifano halisi na shughuli za kujifunza zinazochochea ubunifu. Mwanafunzi anajengewa uwezo wa kutumia lugha ya Kiswahili kwa uhakika katika mazingira ya darasani na maisha ya kila siku.

Shipping
Reviews (0)
Rated 0 out of 5
0 reviews
Rated 5 out of 5
0
Rated 4 out of 5
0
Rated 3 out of 5
0
Rated 2 out of 5
0
Rated 1 out of 5
0

Reviews

Clear filters

There are no reviews yet.

Be the first to review “RAMANI YA KISWAHILI GREDI 10,11,12” Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


Vendor Info

Vendor Information

  • Store Name: Jiasala street printer centre store No 21
  • Vendor: BETH MABONGA
  • No ratings found yet!
More Products
No product has been found!

Related products

-25%

Unaitwa Nani by Prof K W Wamitila

Books
KShs600.00 KShs450.00
Unaitwa Nani by Prof K W Wamitila
Add to wishlist
Add to basket
Quick view
-16%

Mwongozo wa Bembea ya Maisha by John W. Wanjala

Miongozo Ya Fasihi
Rated 4.25 out of 5
KShs450.00 KShs380.00
Madhumuni ya kuandika kitabu hiki ni kumrahisishia mwalimu na mwanafunzi kazi na kumpa mwelekeo unaofaa. Kitabu hiki kimeangazia masuala ibuka katika utahini wa karatasi ya tatu ya Kiswahili katika mtihani wa KCSE. Kitabu hiki kimejumuisha vipengele saba vya uhakiki wa fasihi andishi kama vile; Ploti ya tamthilia, dhamira ya mwandishi, mandhari na umuhimu wake, ufaafu wa anwani, maudhui, wahusika na uhusika na mbinu za lugha. Maswali ya udurusu pia yamejumuisha katika kila mwisho wa onyesho ambayo yatamsaidia mwanafunzi kujinoa na kujipima ratili uelewa wake wa ploti. Maswali ya kiwango cha kitaifa pia yamejumuisha pamoja na majibu yake. Masuala ibuka kama vile umuhimu wa wahusika, mbinu za kimtindo, aina za takriri, aina za taswira, na vipengele vingine.
Add to wishlist
Add to basket
Quick view
-16%

PEPONI by Abdulrazak Gurnah and Dr. Ida Hadjivayanis

Books
KShs2,000.00 KShs1,690.00
Swahili translation of the Nobel-prize winning author’s 1994 novel Paradise. Mzaliwa wa Afrika ya Mashariki, Yusuf anaondoka kwao kwa ghafla
Add to wishlist
Add to basket
Quick view
Sold out

Tadubiri za Insha 6 [Kimeidhinishwa]

Books, CBC, ECDE, Vitabu Vya Ziada
KShs510.00
Add to wishlist
Read more
Quick view
-30%

Mwenge wa Uandishi: Mbinu za Insha na Utunzi ( Toleo Jipya) by Prof K W Wamitila

Books
KShs1,000.00 KShs700.00
Mwenge wa Uandishi: Mbinu za Insha na Utunzi ( Toleo Jipya) by Prof K W Wamitila
Add to wishlist
Add to basket
Quick view
Sold out

Maelezo ya Methali za Kiswahili [Kimeidhinishwa]

Books, CBC, ECDE, Vitabu Vya Ziada
KShs545.00
Add to wishlist
Read more
Quick view

Misemo, Milio na Tashbihi [Kimeidhinishwa]

Books, CBC, ECDE, Vitabu Vya Ziada
KShs406.00
Add to wishlist
Add to basket
Quick view
-14%Sold out

Tiffa Kibonge by Lizana Kafwa

Books
KShs700.00 KShs600.00
Tiffa Kibonge is a plus size girl who meets a man with a complicated situation. The book is in swahili language.
Add to wishlist
Read more
Quick view

Tadubiri za Insha 5 [Kimeidhinishwa]

Books, CBC, ECDE, Vitabu Vya Ziada
KShs510.00
Add to wishlist
Add to basket
Quick view
-25%

Dau lazama na Kulei G. Serem

African Interest
KShs600.00 KShs450.00
Dau Lazama inatoa picha halisi ya mambo yanayoendelea katika jamii hususan katika bara la Afrika. Walalahoi katika taifa la Ngomeni wanapitia madhila yasiyo na kifani kutoka kwa walio na mamlaka ya dola. Ni bayana kwamba uongozi katika taifa hili ni wa kiimla. Tembo anatumia mbinu kali kuwakaandamiza wapinzani wa sera zake. Vilevile pana asasi muhimu za jamii kama vile dini, zinazofaa kuyanyosha maadili katika jamii ila sivyo katika taifa la Ngomeni: Mchungaji Kombo anauunga mkono ukoloni mamboleo na kushirikiana nao. Si hayo tu, siri kubwa inayozingira maisha ya kijana Bahati kuihusu usuli na hatima yake ya maisha inateka bakunja nadhari ya msomaji.
Add to wishlist
Add to basket
Quick view
-13%

Najivunia Kuwa Mnandi Na Ishamel Rono Nicodemus

African Interest
KShs750.00 KShs650.00
Baada ya kuchinjwa, matumbo hukaguliwa na iwapo hakuna ishara yoyote ya ugonjwa, sherehe hutangazwa kuwa njema. Iwapo kondoo atapatikana na ishara ya ugonjwa, hii ikiwa nadra kwa kuwa umakinifu uliwekwa unapochaguliwa, mwingine hutakaswa na kuchinjwa tena. Rafiki zake bwana harusi wanapopeana habari njema, wazazi na wale kina mama wa ubatizo hunyunyiza maziwa na pombe… * Riwaya hii ni ya kihistoria ya jamii ya Wanandi. Inamulika masuala ainati ya asili katika utamaduni na mila zao. Namna jamii ya Wanandi ilivyojisuka na kujitawala katika uongozi, imani na matumaini katika maisha yao na majukumu yao katika kujikidhia matakwa ya kimsingi katika maisha. Riwaya hii ni mfano bora wa kazi zinazosimulia utamaduni wa Mwafrika na mfumo wa kujikuza na mielekeo ya maisha.
Add to wishlist
Add to basket
Quick view
-8%

Pandashuka By Timothy O. Sumba

Riwaya(Novels)
KShs649.00 KShs600.00
“Nikumbukapo mashaka tipitipi yaliyoizonga familia yetu naamini kuwa ulimwengu umefurika malimwengu ya kila nui ambayo hukingama mbele ya walimwengu maishani na kusababisha pandashuka. Kama barabara ndefu ilivyo safari ya Maisha haikosi mabonde, vilima, milima, tambarare na kona. Je. Ni gurufu gani isiyokuwa na gurufu? Kwa bahati njema mawimbi ya safari ngumu hayadumu maishani, huisha namna Maisha yenyewe yanavyoisha. Baadhi ya Pandashuka ni furaha na huzuni, raha karaha, vicheko na vilio, utajiri na umaskini, shibe na njaa, amani na vita, afya njema na maradhi, upendo na chuki n ahata shwari na shari namna wasemavyo wengine. Kimsingi, pandashuka hutusambazia ama utulivu au uchungu nzima unaozaa jakomoyo sufufu. Je, ni nani asiyejua kuwa painamapo ndipo painukapo?” "Ni riwaya ya kitawasifu inayomfahamisha msomaji kutalii katika usimulizi aula uliosukwa kwamba ni mlo wa kisanaa kwa kukolezwa mbinu kemkem za sanaa. Mwandishi aliyetopia na kugharika ukwasi wa lugha ameyatumia maneno ya kawaida namna isiyo ya kawaida ili kuukamilisha ubunifu usio na kifani. Mwandishi huyu mahiri amesimulia visa tele vinavyoingiliana na kuunda taswira halisi za pandashuka katika jamii..." Tahakiki ya Fatma Ali Mohamed(Zanzibar)
Add to wishlist
Add to basket
Quick view

Tadubiri za Insha 2 [Kimeidhinishwa]

Books, CBC, ECDE, Vitabu Vya Ziada
KShs441.00
Add to wishlist
Add to basket
Quick view

Fani Mbalimbali za Kiswahili Ktb 1 [Kimeidhinishwa]

Books, CBC, ECDE, Vitabu Vya Ziada
KShs522.00
Add to wishlist
Add to basket
Quick view
-13%

MIHIMILI YA Ushairi na Isimujamii Forms 1-4

Revision Books
KShs800.00 KShs700.00
Kitabu hiki kitamfaa mwanafunzi anayejitayarisha kwa mtihani wa kcse na pia wanafunzi wengine wa shule za upili na pengine vyuo
Add to wishlist
Add to basket
Quick view

Tadubiri za Insha 8 [Kimeidhinishwa]

Books, CBC, ECDE, Vitabu Vya Ziada
KShs609.00
Add to wishlist
Add to basket
Quick view
delivery

QUICK DELIVERY

Swift dispatch

ONLINE PAYMENT

Multiple options

EXPERT SUPPORT

Help when you need it

WIDE VARIETY

Thousands of books

GLOBAL SHIPPING

Worldwide delivery

  • TALK TO US
    • 0794 233261 / 0724 670194
    • nuriakenyabookstore@gmail.com
    • The Bazaar Building, 1st Floor
  • About Nuria
    • Our Story
    • Blog
    • Contact Us
  • VENDORS
    • Sell on Nuria
    • Vendor Login
    • Privacy Policy
  • USEFUL LINKS
    • Delivery Policy
    • Returns
    • Gift Card Balance
digitals-app-store-button
google-play-button

We Accept

2023 NURIA KENYA All rights reserved
  • Menu
  • Categories
  • Kenya Books
  • Rare Books
  • International Bestsellers
  • Self Help & Motivation
  • Fiction
  • Autobiography
  • Business
  • Children’s Books
  • Kids & Teens
  • African Interest
  • Educational Books
  • Romances & Thrillers
  • Home
  • Shop
  • Gift Card
  • About Us
  • Nuria App
  • Contact Us
  • Wishlist
  • Login / Register
Shopping cart
Close
Sign in
Close

Lost your password?

No account yet?

Create an Account
Shop
Sidebar
0 Wishlist
0 items Cart
My account