QUICK DELIVERY
Swift dispatch
ONLINE PAYMENT
Multiple options
EXPERT SUPPORT
Help when you need it
WIDE VARIETY
Thousands of books
GLOBAL SHIPPING
Worldwide delivery
0794 233 261




KShs380.00 KShs350.00
Mawazo Yamuua Tembo
Author : Idd Mwimbe – Virtue Book Publishers
5-10 years – CBC
Mawazo Yamuua Tembo” ni hadithi ya kusisimua kuhusu tembo aliyejivunia nguvu zake na kuburi dhidi ya wanyama wadogo msituni. Aliwadhihaki wanyama, akiwemo kanga, ambaye alionya tembo kuhusu matendo yake mabaya. Tembo alicheka na kudharau onyo hilo, akijivunia nguvu na uwezo wake. Lakini kadri siku zilivyokwenda, tembo alijikuta akiona shida, na mawazo mabaya yakamwingia, akajikuta akifadhaika zaidi. Nini kilichotokea baadaye? Hadithi hii inatufundisha kuhusu madhara ya kuburi na umuhimu wa unyenyekevu.
Swift dispatch
Multiple options
Help when you need it
Thousands of books
Worldwide delivery
No account yet?
Create an Account
Reviews
Clear filtersThere are no reviews yet.