Author: Jackline Ndege
Pauline Kea
Evans Osoro
Zephania Mucheria
ISBN: “9789914445701“
0794 233 261
KShs510.00
Nuria Ranking: #1 in Teachers GuideKiswahili Dadisi ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa njia ya kipekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa wa umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata umilisi wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika, na vilevile sarufi kama ilivyopendekezwa katika mtalaa.
Vitabu katika msururu huu vina mazoezi murua ambayo yatamchangamsha mwanafunzi na kumpa hamu ya kujifunza lugha. Mazoezi haya yanakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka.
Huu Mwongozo wa Mwalimu, Gredi ya 6, una mifano halisi na ya kutosha kumwezesha mwalimu kuwasaidia wanafunzi kukuza umilisi unaokusudiwa. Katika mwongozo huu, utapata:
• Utangulizi wa kina kuhusu mtalaa wa umilisi
• muhtasari wa umilisi, maadili, masuala ibuka na shughuli nyinginezo zilizoratibiwa ufundishaji katika kila sura
• Matokeo maalumu, maandalizi ya somo na shughuli za ufunzaji wa kila somo
• Mapendekezo ya majibu ya takribani maswali yote katika Kitabu cha Mwanafunzi
• Mapendekezo ya shughuli za kutekelezwa na wanafunzi ili waendelee kujifunza wakiwa nje ya darasa
• Maswali ya ziada ili kukuwezesha kutathmini zaidi uelewa wa wanafunzi wako
• Maelekezo ya kina kuhusu jinsi ya kutathmini wanafunzi.
Kiswahili Dadisi, Kitabu cha Mwanafunzi pamoja na Mwongozo wa Mwalimu vina shughuli, mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwanafunzi na mwalimu wanahitaji ili kufaulu katika mtalaa huu wa umilisi.
Oxford, mshirika wako katika ufanisi!
Author: Jackline Ndege
Pauline Kea
Evans Osoro
Zephania Mucheria
ISBN: “9789914445701“
The day King Kong and I were kidnapped started off like any other Saturday."
So writes Moses, Uganda's most notorious schoolboy, at the start of his yet another wild adventure.
The deputy headmaster, Mr Karanja, has decided that the two friends must have their hair cut. They spend a pleasant morning in town, enjoying the freedom from Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen - until a sleek Mercedes Benz appears and their 'holiday' comes to an abrupt end. Their hairstyle thrusts them deep into the criminal underworld and they only escape being sold into slavery by the skin of their teeth.
This is the fourth of Moses' witty chronicles of life in Uganda's most awful school.
Swift dispatch
Multiple options
Help when you need it
Thousands of books
Worldwide delivery
No account yet?
Create an Account