Author:Â Jackline Ndege et al.
ISBN:Â “9780195745702”
0794 233 261
KShs470.00
Nuria Ranking: #4 in WorkbookKiswahili Dadisi Workbook ni msururu wa kipekee wa vitabu vya mazoezi katika Mtalaa wa Umilisi. Kila kitabu katika msururu huu kimefanyiwa utafiti wa kina na kuandikwa kwa ustadi ili kuwasaidia wanafunzi kupata umilisi wa kimsingi, ujuzi, maadili na kuwa na mitazamo bora maishani. Vitabu hivi vinatoa utaratibu mwafaka wa kufanya mazoezi ya lugha kwa njia nyepesi na ya kueleweka.
Author:Â Jackline Ndege et al.
ISBN:Â “9780195745702”
Maskini Bibi Yangu! ni kitabu kinacholenga wanufunzi wa darasa la Sita katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao kusoma.Miongoni mwa sifu za kipekee za kitabu hiki ni:masimulizi rahisi ya hadithi kwa njia ya utambaji hadithi na usimulizi wa nafsi ya kwanza umoja.kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia masimulizi, dayolojia, misemo, methali, taharuki, tanukali za sauti, vichekesho, utani, takriri, taswira nu picha za rangi zenye kusisimua.kuwapitisha na kuwalea wunufunzi katika muzingira ya kuwaheshimu watu wazima wenye uhusiano nao au wasiowahusu, maisha ya nyumbani, mazoezi, michezo na mashindano, kilimo, afya na hudumu ya kwanza, teknolojia ya mawasiliano, uwajibikaji, utu. uvumilivu na mandhari ya mijini na vijijini.
The day King Kong and I were kidnapped started off like any other Saturday."
So writes Moses, Uganda's most notorious schoolboy, at the start of his yet another wild adventure.
The deputy headmaster, Mr Karanja, has decided that the two friends must have their hair cut. They spend a pleasant morning in town, enjoying the freedom from Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen - until a sleek Mercedes Benz appears and their 'holiday' comes to an abrupt end. Their hairstyle thrusts them deep into the criminal underworld and they only escape being sold into slavery by the skin of their teeth.
This is the fourth of Moses' witty chronicles of life in Uganda's most awful school.
Swift dispatch
Multiple options
Help when you need it
Thousands of books
Worldwide delivery
No account yet?
Create an Account