Author: Ahmed Hussein
ISBN: “9780195734539”
0794 233 261




KShs215.00
Nuria Ranking: #4 in Readers‘Mgeni njoo!’ ni kitabu kinacholenga wanafunzi wa Darasa la Kwanza katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:
n
n
n
n
nMradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada ambao unaambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.
Author: Ahmed Hussein
ISBN: “9780195734539”
Arope amezoea kwenda malishoni kuwalisha wanyama wao. Baada ya muda kidogo, baba yake anamtaka aende shuleni ili apate elimu. Arope anafika shuleni. Siku moja, mgeni mmoja wa ajabu anakuja shuleni kwa kina Arope. Mgeni huyu anafanya mambo ambayo yanampatia Arope furaha kubwa. Mwishoni Arope anakuwa 'Arope wa Kitabuni'.
Furaha ya Arope ni mojawapo ya hadithi katika mradi wa kusoma. Huu ni mradi wa vitabu vya ziada unaoambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.
Swift dispatch
Multiple options
Help when you need it
Thousands of books
Worldwide delivery
No account yet?
Create an Account