All practicals systematically arranged from form one to form two. The book has a separate answer booklet and confidentials. It has writing spaces inside therefore enabling students to revise easily and systematically.
Kitabu cha kumwezesha mwalimu na mwanafunzi kuelewa mashairi kwa undani, kujifunza mbinu za kuwasilisha majibu kwenye mtihani wa kitaifa, michezo ya chemshabongo, maswali na majibu tumbi nzima. Mwalimu atakitumia kufunzia moja kwa moja. Ki sawa kwa viwango vyote vya elimu