Huu ni mwongozo wa riwaya ya Nguu za Jadi. Kuna muhtasari, ufaafu wa anwani, dhamira, maudhui, sifa za wahusika na mbinu za lugha. Pia kuna maswali na majibu
Ni mkusanyiko wa maswali na majibu ya hadithi fupi inayotahiniwa katika shule ya upili. Pia kuna maelekezo kuhusu utaratibu wa kujibu maswali. Maswali mseto
These are systematically organized questions and answers from a compulsory Kiswahili play for high school. It's guides learners on how to present answers
A tactical teaching and revision book. Demonstrates methods of presenting answers using sampled questions from form 1 to 4. Errors in presenting Biology answers invalidates correct answers. This book is ideal for teachers and learners to escape the trap of failing exams despite having good answers.
Mkusanyiko wa mbinu 54 za lugha. Zote zimetolewa maelezo na mifano ya kudumu hata kwa mpito wa vitabu teule vya fasihi andishi. Muhimu kwa kuchambua na KUELEWA Tamthilia, Hadithi Fupi, Riwaya, Fasihi Simulizi na Ushairi
Kimetoa muhtasari wa kitabu kizima, umuhimu wa mandhari, maudhui, sifa za wahusika, umuhimu wa wahusika, mbinu za lugha maswali ya dondoo, majibu yao, maswali ya insha, majibu yao, maswali ya kuchambua vifungu na majibu yao. Kimekumbatia mtindo wa maswali na majibu Kazi IMERAHISISHWA ajabu.
Has summarized notes for teaching and revision systematically organized according to syllabus. The books also contains questions and answers well aimed at getting the best performance in KCSE. Solved problems!